Wamewaita written?, nina mpenzi wangu aliomba.
Unaijua chatgpt?Habarii wakuu kwa heshima na taadhima ninaomba kwa mtu aliyewahi kufanya kada ya Afisa maendeleo ya jamii anisaidie maswali ambayo amewahi kukutana nayo kwenye interview
Yaani ukiitwa written usiandike maelezo mengi sana na usilembe mwandiko Mimi nilifeli written nyingi sana kabla sijajiunga humu baada kupata technic humu nimeenda moja tu na kutoboa. So jipange tu mdau fuatilia thread za humuAmina broo
Nakubali kakaYaani ukiitwa written usiandike maelezo mengi sana na usilembe mwandiko Mimi nilifeli written nyingi sana kabla sijajiunga humu baada kupata technic humu nimeenda moja tu na kutoboa. So jipange tu mdau fuatilia thread za humu