Maoni yangu mimi, Diversify, hiyo pesa wekeza Sehemu angalau Tatu, but yahitajika ufuatiliaji mkubwa sana. Kwanza wekeza kwenye Duka la dawa/au maabara flan ivi ya kihuni (i mean simple lab).
Pili wekeza kwenye Ufugaji wa Kuku kibiashara, either uanze kufuga from scratch au Uwe unanunua kwa wafugaji in large scale unauza bidhaa zitokanazo na kuku ni Nyama na mayai , tatu na mwisho wekeza kwenye Chakula/mgahawa tafyta sehemu yenye traffic kubwaa weka mzigo.
I hope utapata return nzuri saana ukiqa serious. (When all risks are calculated) Good Luck. !