Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,268 Reaction score 14,526 Dec 8, 2025 #21 KENZY said: Wakiamua kuzima hata utumie vpn ya mizimu na majini hazishiki we tulia tu usije ukatapeliwa Click to expand... Tusihalibiane ugali basi, muache kijana aje tumsaidie.
KENZY said: Wakiamua kuzima hata utumie vpn ya mizimu na majini hazishiki we tulia tu usije ukatapeliwa Click to expand... Tusihalibiane ugali basi, muache kijana aje tumsaidie.
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,310 Reaction score 10,999 Dec 8, 2025 #22 Serikali haina mpango wa kuzima internet, kuwa na amani.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,308 Reaction score 27,084 Dec 8, 2025 #23 Vincenzo Jr said: Na hiyo 1111 bila kulipia 2700 hauwezi kutoboa Itakuwa inakatakata asipolipia Click to expand... Kuna kipindi nilikuwa natoa darasa kwa watu wawasiojua kutumia Facebook Ili nikufundishe ku LIKE ni Jero. COMMENTS ni 1000 Account ni 5000 Kufuta nk kila kitu na bei yake. Baada ya kuja kupata ufahamu walikuwq wanacheka sana
Vincenzo Jr said: Na hiyo 1111 bila kulipia 2700 hauwezi kutoboa Itakuwa inakatakata asipolipia Click to expand... Kuna kipindi nilikuwa natoa darasa kwa watu wawasiojua kutumia Facebook Ili nikufundishe ku LIKE ni Jero. COMMENTS ni 1000 Account ni 5000 Kufuta nk kila kitu na bei yake. Baada ya kuja kupata ufahamu walikuwq wanacheka sana
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,802 Reaction score 9,143 Dec 8, 2025 #24 Na elimu yangu ya kuunga unga nachojua internet ikizimwa hakuna kinachofanyika labda uhame nchi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Dec 8, 2025 #25 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,744 Reaction score 5,099 Dec 8, 2025 Thread starter #26 KENZY said: Wakiamua kuzima hata utumie vpn ya mizimu na majini hazishiki we tulia tu usije ukatapeliwa Click to expand... Unaelewa tofauti kati ya internet na network( mtandao)???
KENZY said: Wakiamua kuzima hata utumie vpn ya mizimu na majini hazishiki we tulia tu usije ukatapeliwa Click to expand... Unaelewa tofauti kati ya internet na network( mtandao)???
Mbabani JF-Expert Member Joined Jun 20, 2022 Posts 2,518 Reaction score 7,234 Dec 8, 2025 #27 Download proton vpn, setting ya protocol weka stealth
Blackman JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 858 Reaction score 343 Dec 8, 2025 #29 Tumia vpnly ukiwasha umewasha hata siku mbili mfululizo wewe tu
Blackman JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 858 Reaction score 343 Dec 8, 2025 #30 FK21 said: Settelite ikizimwa hakuna ujanja Click to expand... Nani anazima satellite nawe