Naombeni VPN za uhakika

Mtandao ukizimwa vpn haifanyikazi, labda wazime/ wafungie apps, kama x, insta, whatsapp, tiktok etc hapo utaweza kuzipata via vpn, lakin wakizima mtandao wote kwa jumla hakuna vpn wala ATM, wala huduma yoyote ya kibenk itakayokuwa inafanyakazi.
 
Wamesema wamejiandaa vijana waje hope hawatazima mitandao!😀
 
Settelite ikizimwa hakuna ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…