Godfrey Mwaja
Member
- Oct 15, 2010
- 24
- 0
dah
karne gan i?
wote wakristu?dhehebu tu?
HAMPENDANI.
Mnapendana au mnadiniana?Ukishaona udini unachukua hatamu basi ujue hapo mapenzi hakunaHabari ndugu zangu, mimi nina Girlfriend wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa mwaka mmoja sasa. ki ukweli nimetokea kumpenda sana binti huyu hasa kutokana na uhusiano wetu na jinsi nilivomkuta akiwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote, tofauti yetu ni dini yeye ni msabato nami mlutheri. mwanzoni mwa mapenzi yetu tulikubaliana wakati kufunga ndoa atabadili dhehebu na kufuata langu, baadae tena akasema hapana bora kila mtu abaki na dhehebu lake, mimi nikasema sawa, pili akakataa tusifanye mapenzi tena mpaka ndoa pia nikamkubalia, lakini kwa sasa hivi ananiambia kuwa imani yao hairuhusu kuishi na mtu wa dhehebu lingine pia hayuko tayari yeye kubadili dhehebu pia anasema kwao hawatamkubalia kubadili, kwa hiyo anataka mimi ndo nibadili dhehebu na kama itashindikana yupo tayari tuachane, wakati huohuo anadai kuwa ananipenda sana ndio maana ananiomba nibadili dhehebu, na mimi binafsi siwezi kubadili kuwa msabato, naombeeni ushauri.
1.kumbuka utaishi na mke si dhehebu.habari ndugu zangu, mimi nina girlfriend wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa mwaka mmoja sasa. Ki ukweli nimetokea kumpenda sana binti huyu hasa kutokana na uhusiano wetu na jinsi nilivomkuta akiwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote, tofauti yetu ni dini yeye ni msabato nami mlutheri. Mwanzoni mwa mapenzi yetu tulikubaliana wakati kufunga ndoa atabadili dhehebu na kufuata langu, baadae tena akasema hapana bora kila mtu abaki na dhehebu lake, mimi nikasema sawa, pili akakataa tusifanye mapenzi tena mpaka ndoa pia nikamkubalia, lakini kwa sasa hivi ananiambia kuwa imani yao hairuhusu kuishi na mtu wa dhehebu lingine pia hayuko tayari yeye kubadili dhehebu pia anasema kwao hawatamkubalia kubadili, kwa hiyo anataka mimi ndo nibadili dhehebu na kama itashindikana yupo tayari tuachane, wakati huohuo anadai kuwa ananipenda sana ndio maana ananiomba nibadili dhehebu, na mimi binafsi siwezi kubadili kuwa msabato, naombeeni ushauri.
nampenda sanaaaa, yaani tatizo imani na sheria za kisabato ndo zinanishinda.
1.kumbuka utaishi na mke si dhehebu.
2.wasabato na warutheri wote wanamtambua yesu kuwa ni masihi.
3.ameanza taratibu kukuomba ubadili hiki,nawe unakubali,akisema wewe ni ndio darling.......hata ukimuoa atabadili mambo yako mengi.
4.nawaelewa sana wasabato,pia nawaelewa sana walutheri...dhehebu lingine kumuoa msabato ni issue. Ukimuoa ukiwa mlutheri waweza kuwa unakunywa pombe na kubugia kiti moto vitu ambavyo ni fauolo kwa wasabato.
5.hutampata huyo bila kubadili dini. Lakini usimlaumu si yeye ni waadventista wenzie ndio waliotilia mkazo uamuzi huo.
6.kama unampenda......hutegemei kukutana na mtu kama yeye hapa duniani.......badili dhehebu.hutajuta.
7.kama umri wako ni chini ya miaka 30,mtafute mzee asie msabato au mlutheri mweleze kwa kina tatizo lako.
1.usile nguruwe
2.usinywe pombe au kuvuta sigara.
3.usifanye kazi siku ya jumamosi.
4.ubatizwe kwenye maji mengi.
Kipi kigumu hapo mkuu?????????
Sheria gani inakushinda?
nampenda sanaaaa, yaani tatizo imani na sheria za kisabato ndo zinanishinda.