Mmmmh ukiona manyoya?
Nenda kwake ghafla Mpokonye simu kaa nayo.
Mmmmmmh.....wewe ni mwanaume ama mwanamke....nianzie hapo kwanza mkuu
Khaa kumtakia mwenzio presha kisa nini
Atakachokikuta eeeh
Za siku miss strongPresha za buree
Kuna mpenzi wangu ambaye nampenda sana ambaye nina km mwaka1 hivi nipo nae anatabia poa tu lakini hivi karibuni kama 3week nikimpigia simu kama sa 5-6 nambiwa inatumika.
Then nikipiga zaid inakuwa haipatikani nikawa mpole kusuluisha yakaisha sasa tangu hapo anipigii simu hadi nimpigie, anitumii text had nimtumie.
Nahitaji ushari wenu nimfanye nini, nitumie njia gani naitaj furaha katika pendo langu.