Hakuna Uwezekano wa kutafuta marafiki wengine ama ni huyo tu
Leo hakuna kulala sio? Hivi unajua si kila rafiki ni wa kupoteza?
Mmmh ni urafiki tu, au kuna la ziada?
yani mtu tu anakupotezea unaumia Roho, na bado unatafuta namna ya kujiweka kwake?
hivi haya mahaba ya hivi wenzangu mnayatoa wapi?
Mahaba Niue.....Roho yangu Niachie
Dah watu tuna mioyo tofauti sana,labda ulivyompigia simu alikua ana stress ama alikua busy,
jaribu kumpigia muda mwingine kisha uumulize kinaga ubaga kwa nini anataka kukupotezea?
Usisahau kumkumbusha nyakati mlizopitia.....
inawezekana yupo kwenye mahusiano mengine mazito ama ndoa kabisa,kwan urafiki wenu ulikua ni wa kufa na kuzikana.
Hakuna Uwezekano wa kutafuta marafiki wengine ama ni huyo tu