Naombeni ushauri.

Kaka unachotakiwa ni kudili na saikologia ya mkeo, inaonekana huwa ana mawazo mengine wakati wewe unapotaka game.
 
kuna suala ambalo linamsumbua mkeo la kisaikolojia , inamchukua muda yawezekana hadi avute picha ya mtu mwingine au ajitahidi kutuliza akili yake
 
au mmekua mkigombana kwa muda mrefu sana, yaani mikwaruzo ya mara kwa mara, hupunguza upendo, na feelings ni huo upendo au mapenzi kwa maana nyingine. katika process ya kugombana mayb kampata mtu ambaye anamjali,hawagombani yupo kwa ajili yake. wakati ana do na wewe kurudisha hisia kwako wakati moyo wake umehama ni kazi nyingine tena, ndio anachukua dk 45 zote hizo kujaribu kutoka kule kurudi kwako, au avute hisia za yule ili kuwa wet kwako! jaribu kumchunguza kama mpango wa kando unahusika, yaweza kuwa sababu, ol in ol, talk to her ni mke wako, n TALKING is the best weapon to solve issues in marriages, ol the best na pole sana.
 
Back
Top Bottom