Naombeni Ushauri

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,836
Reaction score
14,397
Jamani kuna binti alikua mpenzi wangu sasa kuna siku nilienda kwake nikafanya yaliyonipeleka nilikua nimevaa boxer mbili moja kama bukta zile za juu na ya ndani ya polyester ya kubana

Sasa ile boxer ya juu bahati mbaya nilisahau kwake na nilivyomuuliza kataja mpaka jinsi ilivyo lakini anasema kwake hajaiona na tumeachana kinomanoma baada ya kutoka na rafiki yake na Rafiki yake ameniambia kuwa yule ni mtu wa waganga sana.

Wana jamvi ni njia gani naweza kutumia kupata boxer kiufupi atanitengeneza.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€... Sasa na wewe si uwacheki watu wa kwenu, au kijijini kwenu hakuna wazee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…