Naombeni ushauri

Tumia hio mbinu ya mochwari fanya mpango akazindukie kwenye barafu Kati Kati ya maiti.

Muwekee dawa za kuacha pombe kwenye chakula au kinywaji.

Akishaacha pombe ni hatua nzuri.

Pili ni ujana tu akifika miaka kuanzia 45 wengi huwa wanabadililka kwa kutokuona faida na uacha ulevi.

Tatu kama wewe ni mtu wa imani njia ya Mungu ni uhakika na ina nguvu, check wabobezi wa mambo ya kiroho watatibu hilo tatizo.
 
Nawatoto wawili
, hebu tumpe ushauri mujarabu laasivyo atakujafanywa mdangaji. Kwauchumi huu, utakubali uletewe watoto wawili au mama awaache wanae
hiyo ni mistake tayari before ndoa tayari kafyatua wawili? Kwa sasa apambane tu kuweza kumtoa mumewe kwenye hilo sakata la ulevi,,then atuletee mrejesho.
 
Mrejesho upoje mkuuu
 
Vipi kile chakula cha usiku nacho anamwaga akikasirika? Tuanzie hapa kwanza
 
Pole sana mdada hakuna anaeweza kukushauri kisa mahusiano yako tungejua chanzo cha makutano yako na yeye labda kama mlikutana bar inamaana nivitu ushavizoea iweje Leo vikuchoshe angali bado unauhitaji nae naomba nikushauri kaanae chini muyamalize vinginevyo mpk apigwe na tukio zito ndipo ataacha pombe mshauriane
 
Hapa huwezi kupata msaada wowote. Sana sana wanasaikolojia wanasema ukizungumza tatizo lako unajisikia nafuu. Ndiyo ulichofanya. Huo ni mzigo wa gunia la misumari. Kimbia haraka sana.
We unashauri ujinga hiyo ndoa kisheria wanawatoto ukumbuke😄
 
Mbona huyo anaunafuu apoleta chakula alafu anakimwaga...😊 sasa ungeolewa na mimi sindio ungefariki....😎 maana minikilewa sileti kabisa chakula na kurudi nyumbani siji...🤨 hadi siku pesa zitakapo isha ndipo unaniona nyumbani...☹️.
Ila pole mkuu, minadhani kosa lilianzia kwako kwa kukubali kuolewa na mlevi, na usije ukadhani kama atabadilika aje na tabia mpya maana hivyo alivyo ndio tabia yake halisi.
Maamuzi ni yako mama, ondoka ukaanze maisha mapya ama vumilia ukisubiri aje abadilike..😊
 
 
Dahh
 
Tupo tunakaa kwao mamayake anamjua mwanae na hana cha kumfanya anatukana watu anamwacha tu hawezi mfukuza ndo mwanae na apo ndo kwao me naona nijiengue tu
Ila na wewe ulijchinganya...
Mwanaume mlevi
Mna watoto wawili
Mnakaa kwao
bado unadhalilishwa kila kukucha
Aisee pole sana
 
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…