Ujumbe mzuri sana kwa wadada wanaofikiria kuoelewa. Amen!
Nilikukosa sana mzee mwenzangu. Hadi watu wapole kama wewe mods wanawapiga ban? Enjoy kuwa nasi tena!Asante Mzee mwenzangu
Wananionea we acha tu😅Nilikukosa sana mzee mwenzangu. Hadi watu wapole kama wewe mods wanawapiga ban? Enjoy kuwa nasi tena!
Polee yameisha rafikiWananionea we acha tu😅
YeahKizombi zombi
Wanaume bhnMie huwa naamini matatizo katika ndoa 98% yanachangiwa na wanawake-hii story ni ya upande mmoja but mie naamini wewe ndio tatizo.
Hujawahi kuishi na walevi niniMTU hawezi kutoka tu huko kwenye mapombe amwage sufuria la mboga,itakiwa kuna kitu umemkosea au umemjibu vibaya au umepika mboga hivyo lazima kuna sababu
Nawatoto wawiliIkumbukwe wanaume hatujaisha mrembohalafu jambo la kufurahisha hamna ndoa 🙂 kadri unavyozidi kubaki naye ndo jinsi utakavyozidi kuathirika kisaikolojia,,so it's better uka-move on asizidi kukuharibu zaidi,,kinga ni bora kuliko tiba
Huu ushauri naukubali ila kumwambia mtu straight kuwa aondoke waachane huku anataka akiondoka awabebe wote wawili baafae simtaanza kumuita majina ya ajabu mnayoyadhihaki kila siku humu. Tutengeneze kwanza ikishindikana ndio usepe. Watoto wawiliWanaume wa hivyo ukiondoka anadata. Jipe likizo ili ajitafakari. Ila uwe tayari kwa lolote anaweza asishtuke ukiondoka.
Na ukweli ni kwamba hatabadilika so akili kichwani mwako.
Huoni kalichangia tatizo lake mwenyeweWanaume bhnmnajionaga malaika we ushaambiwa MTU anakunywa pombe analewa na matusi toka akiwa na miaka 9 afu useme shida ni mwanamke isitoshe mwanamke anakaa ukweni Hadi mama mkwe anajua tabia ya Mwanae huyo dada kachangiaje matatizo ya huyo mwanaum
Still haiprove kwamba mwanamke ndo mwenye makosa hakuna wa kumlaumu mwenzieHuoni kalichangia tatizo lake mwenyewe, yaani unajua mtu ni mlevi chronic tangu anamiaka 9 na still anaishi kwao sasa kilichokupeleka uzae na kuishi naye nini.mama yangu mzazi angekuzaba kofi balaa na mzee angekufukuza kabisa. Yaani yote hayo uliyajua na still ukajipiga kifua kuwa unaweza, unaona kweli ni haki yako kutafuta huruma kabisa
Yaani atalaumiwa mpaka kesho maana ulionywa ukaziba masikio. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Kuna wale ambao ulevi huuanza katikati uko mimi huyo mwanamke sitamlaumu ila wewe uliyejua picha yote, 😂😂 my sister that's on you. Ulipewa akili zitumie, sio utumie hisia. Yaani mimi nioe binti aliye malaya aliyekubuhu leo, kesho akichepuka nisilaumiwe😂😂😂 that's illogical. Hatupo kwenye telenovela au fantasies humu bali ni reality. Mmewezeshwa hadi na elimu yote ila bado ubebewe makosa ya kujitakia, nope. Grow up and take accountability.Still haiprove kwamba mwanamke ndo mwenye makosa hakuna wa kumlaumu mwenzie
Naishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu...
Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo
Ugomvi usio na kichwa wala miguu...
Ukikaa kimya una kiburi ukisema umjibu ndo moto unawaka zaidi, kilicho nichosha zaidi ni tabia yake ya kumwaga chakula pindi akikasirika..
Nimevumilia sana ila sasa nimefika mwisho naona niondoke tu maana unyanyasaji na ubaguzi vimezidi tuna watoto wawili hatuna ndoa wenye busara karibuni maana kisaikolojia sipo sawa nimeathirika mnoo
Aondoke wajipe muda, why kubembeleza? Kuna watu wanafanya makosa kwa makusudi kabisa sio kwamba hawatambui nini wanafanya.Huu ushauri naukubali ila kumwambia mtu straight kuwa aondoke waachane huku anataka akiondoka awabebe wote wawili baafae simtaanza kumuita majina ya ajabu mnayoyadhihaki kila siku humu. Tutengeneze kwanza ikishindikana ndio usepe. Watoto wawili, mnaona uchumi wa babu zetu uu
Dunia Ina watu haya madogo mbonaAnazira hadi Anamwaga chakula??
Una uhakika huyo Mumeo atakuwa mwanaume kweli?
Yanajengeka yeye sio wa kwanza utakimbia wangapi,kila mmoja ana matatizo,labda usioleweAondoke wajipe muda, why kubembeleza? Kuna watu wanafanya makosa kwa makusudi kabisa sio kwamba hawatambui nini wanafanya.
Halafu hata hawajaoana rasmi...why kubeba mzigo wa mtu asiyekuthamini.?
Na asipoangalia huyo dada atakuja
kuachwa mchana kweupee.
Aondoke kama anaweza kujitegemea maana wadada wengi wanavumilia shida kwasababu ya pesa za mume na sio kingine.
Huo ndo ushauri wangu mimi akifata ushauri wako ni sahihi pia. Kupanga ni kuchaguaYanajengeka yeye sio wa kwanza utakimbia wangapi,kila mmoja ana matatizo,labda usiolewe