Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,980
😂😂😂Nunua neti zile za kuchomeka chini ya godoro akija kalewa akafanya fujo usimjibu akipanda kitandani make sure unachomeka neti vzuri kabisa.
Andaa watu wawili wavae mashuka meupe na vinyago vya kutisha wamtembezee kichapo akiwa humo humo ndani ya neti Ila tu wasimpige kichwan.
Kesho yake asubui akileta fujo tena njoo nikwambie mbinu nyingine.
💯🤝Ila mambo ya ndoa ni magumu kuliko mathematics.
Ongea na mtu wa mortuary mpange vilivyo mnamuandalia siku unaenda naye bar mumeo hakikisha anakunywa hadi anakata network kisha unambeba unampeleka mortuary mnamlaza kwenye maiti inayotisha, pombe zikimuisha kichwani akiamka ajikute hapo nakuhakikishia hatokunywa tena pombe katika maisha yake yote.
Mhakikishieni kwamba mlimpeleka mortuary baada ya yeye kuzidisha pombe kiasi cha kufariki na kuweni serious katika hilo. Mbinu hii ikifeli huna namna nyingine zaidi ya kunusuru maisha yako kwa kukaa mbali naye
Nunua neti zile za kuchomeka chini ya godoro akija kalewa akafanya fujo usimjibu akipanda kitandani make sure unachomeka neti vzuri kabisa.
Andaa watu wawili wavae mashuka meupe na vinyago vya kutisha wamtembezee kichapo akiwa humo humo ndani ya neti Ila tu wasimpige kichwan.
Kesho yake asubui akileta fujo tena njoo nikwambie mbinu nyingine.
Kaka yangu alikuwa Cha pombe wa hatari, nikampa mkewe (shemeji) mbinu hii ilifanya kazi Mwaka wa 8 sasa hataki hata kuona pombe ya aina yyt ile
Wakati unaanza kuishi naye haukujua tabia yake ya ulevi. Haukumchunguza? Au uliangalia ni jamaa mwenye maisha yake kama mnavyosemaga?Naishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu...
Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo
Ugomvi usio na kichwa wala miguu...
Ukikaa kimya una kiburi ukisema umjibu ndo moto unawaka zaidi, kilicho nichosha zaidi ni tabia yake ya kumwaga chakula pindi akikasirika..
Nimevumilia sana ila sasa nimefika mwisho naona niondoke tu maana unyanyasaji na ubaguzi vimezidi tuna watoto wawili hatuna ndoa wenye busara karibuni maana kisaikolojia sipo sawa nimeathirika mnoo
Baada ya miez miwil watakuwa wanafatana bar😂😂Mnunulie bier mbili akirudi azikute mezani, chagua zile lite zisiwe Strong, pia punguza manung'uniko, akirudi akukute na moja khanga sio jeans, jiweke tayari, mmiminie bier huku unamsimanga kidogo, kwamba hupendi anavyokunywa huko nje, mpe mifano ya wanaume walevi wanayokutana nayo huko nje, akimaliza mtunuku mbususu, njia hiyo ikigonga mwamba basi na wewe anza kuzimua light humo ndani mkutane walevi wawili, nakushauri tu kama jirani humu. Ila mambo ya ndoa ni magumu kuliko mathematics. Pole sana
Welcome back DemiWanaume wa hivyo ukiondoka anadata. Jipe likizo ili ajitafakari. Ila uwe tayari kwa lolote anaweza asishtuke ukiondoka.
Na ukweli ni kwamba hatabadilika so akili kichwani mwako.
MTU hawezi kutoka tu huko kwenye mapombe amwage sufuria la mboga,itakiwa kuna kitu umemkosea au umemjibu vibaya au umepika mboga hivyo lazima kuna sababuSufuria lote na watoto hawajala
Hii mbinu iko poa sanaKaka yangu alikuwa Cha pombe wa hatari, nikampa mkewe (shemeji) mbinu hii ilifanya kazi Mwaka wa 8 sasa hataki hata kuona pombe ya aina yyt ile
Sio kweliHapo hujaolewa una ng'ang'ania kwa mtu, ungeolewa je..?
Halafu ukute wewe ndio chanzo wa yote... Jirekebishe sikuzote ukiona mwenzako anashida ujue umechangia ktk hizo shida...
He,yupo kwao?? Bado mvulana huyoTupo tunakaa kwao mamayake anamjua mwanae na hana cha kumfanya anatukana watu anamwacha tu hawezi mfukuza ndo mwanae na apo ndo kwao me naona nijiengue tu
Wakati unaanza kuishi naye haukujua tabia yake ya ulevi. Haukumchunguza? Au uliangalia ni jamaa mwenye maisha yake kama mnavyosemaga?
View attachment 2543485Wakati unaanza kuishi naye haukujua tabia yake ya ulevi. Haukumchunguza? Au uliangalia ni jamaa mwenye maisha yake kama mnavyosemaga?