Naombeni ushauri



Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu mna mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ana mwaga chakul si anaachaga ela ya chakula
Kama anakunywa pombe lakn anatmiza mahitaj ya nyumbn kuna shida gani

Hapo mimi naona shida ni wew kwakuw Matatizo hayo ni yakawaida ni wew kujitahd kumkabir apunguze pombe

Ikibd akilew mrekod upuuz wake pombe zikish muonyeshe.
 
unatak apewe kes ya kujarbu kumuua mwanaume
 
Jaribu kujua ana stress na kitu gan kinamsumbua, ongea nae kwa upole akiwa sober mtu hazengui ilimradi tu lazima kuna kitu kinam trigger. Vaa viatu vyake, addiction ni zimwi la hatari. Unaweza kuta ni mtu poa sanaa.
 
Ushamchoka mzee wa watu🤣🤣🤣🤣
Kwani hiyo tabia(ulevi+matusi) ameanza baada ya kukaa wote?
 
Mdanganye lije limzibue! Hapo hana mme bora ajiondokee tu lisije siku moja likaamua kumwua kabisa!!
 
Unapoambiwa kitu na watu kiweke kwenye tafakari zako pia pale mkiachana watoto utawajengea mazingira gan wew chakufanya tafta sehemu nenda upate pumnziko la akili kwa mda kama kwel anakupenda atakutafta kama akupendi hatokutafta hicho ndo kipimo kidgo ##unae mpenda nae anawake pia
 
Mdanganye lije limzibue! Hapo hana mme bora ajiondokee tu lisije siku moja likaamua kumwua kabisa!!
Simdanganyi. Yeye ndio anajua zaidi na yakizidi atachukua maamuzi wala hata pata muda wa kuja kuomba ushauri huku, mpaka kaja huku maana yake bado ana muda wa kujitafakari na ushauri wangu sio ndio kila kitu, ni mtu mzima huyo dada, haya ni mawazo tu, ukizingatia wote hapa tumesikia malalamiko toka upande mmoja.
 
Pole sana mkuu,kama unampenda sana mvumilie tu,pengine atabadilika
 
Nimeipenda Comment yako mkuu
 
 
Unaposema hauna ndoa unamanisha nini? Kuna ndoa ya kidini,kiserikali na kimira kwa hiyo unataka kusema Jamaa hata mahali hajawahi kukutolea?

But kama tayari MNA watoto 2 maana yake huyo umeisha ishi nae under 1 roof zaidi ya miezi 6 hivyo inatambulika ni ndoa halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…