We wadanganye nitasambaza kipgo kama napga ngoma, mama yao anamatatizo sana sema siwezi kutoa siri kwa hao watoto.Watoto wote ni wakiume, ongoza wenzio mkalisheni baba yenu sehemu bila mama kuwepo kisha mchimbeni mkwara kwamba mzee ujue unazingua na sisi ni wanao tumekuvumilia wee sasa tumechoka na tabia zako kwahiyo wakati wowote tunakuadhibu kiasi ambacho hutokaa ukatusahau. Hakikisheni mnauvaa uso wa nyati aliyejeruhiwa mnampa boonge moja la mkwara mnajipanga wote wewe ukiwaongiza wenzio kwa pamoja lenu moja.
Mkimaliza hapo mnajipanga tena kimyakimya kwa Siri sana mnamkalisha huyo kimada wake aliyemshika masikio baba yenu naye mnamchimba biti la kufa mtu kisha mnaskilizia. Fanyeni hayo pasipo kumshirikisha mama yenu Wala ndugu mwingine yyt, mnakuwa watoto peke yenu lakini kwa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mzee anajidai kichwa Ngumu ni kumfata huyo kimada kumwambia Kama hakijuii kifo kinafananaje aendeleee[emoji3][emoji3][emoji3] Atapotea watu wasijue kaendaa wapi alafu No traces.Watoto wote ni wakiume, ongoza wenzio mkalisheni baba yenu sehemu bila mama kuwepo kisha mchimbeni mkwara kwamba mzee ujue unazingua na sisi ni wanao tumekuvumilia wee sasa tumechoka na tabia zako kwahiyo wakati wowote tunakuadhibu kiasi ambacho hutokaa ukatusahau. Hakikisheni mnauvaa uso wa nyati aliyejeruhiwa mnampa boonge moja la mkwara mnajipanga wote wewe ukiwaongiza wenzio kwa pamoja lenu moja.
Mkimaliza hapo mnajipanga tena kimyakimya kwa Siri sana mnamkalisha huyo kimada wake aliyemshika masikio baba yenu naye mnamchimba biti la kufa mtu kisha mnaskilizia. Fanyeni hayo pasipo kumshirikisha mama yenu Wala ndugu mwingine yyt, mnakuwa watoto peke yenu lakini kwa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Babaako ana umri gani na huyo kimada ana umri gani?Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 katika familia yetu tumezaliwa watoto 5 na kwa bahati nzuri sisi wote ni wanaume na mimi ndo wa kwanza ndani ya familia yetu
ani kwetu yaani kwa mama yangu
Lakini kwa mara hii amedumbukia kwenye penzi la kasister kamoja hivi
Mpaka sasa anataka kuamisha vitu vyake kwa mwanadada huyo eti kwa huyo dada ndo kuna sehemu nzuri ya kufanyia
Je kisheria sisi kama watoto tuna haki ya kukataa au kuzuia mali hizo?
Ila maswali mengine MAGUMU😁😁😁iyo utasema Yale maswali ya primary"ukiwa XYZ=2xz tafuta umri wa kimadaBabaako ana umri gani na huyo kimada ana umri gani?
Nitakujibu kwa ufupi tuLakini kwa mara hii amedumbukia kwenye penzi la kasister kamoja hivi
Mpaka sasa anataka kuamisha vitu vyake kwa mwanadada huyo eti kwa huyo dada ndo kuna sehemu nzuri ya kufanyia biashara
Kasi ya kiongozi wa wahuni ndio kasi ya wahuni wenyewe. Ngoja kiongozi wao nipunguze kasi ili hizi kesi zisiwe nyingi! [emoji1787]Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 katika familia yetu tumezaliwa watoto 5 na kwa bahati nzuri sisi wote ni wanaume na mimi ndo wa kwanza ndani ya familia yetu
Sisi tuna baba yetu ni mhuni naweza kusema hivo
Maana anapenda wanawake kinoma
Sasa baba yetu tabia yake ni hiyo ya kupenda wanawake saana leo unaweza kusikia yupo na huyu kesho yupo na mwingine yaani hatulii
Na tabia hiyo alianza kitambo saana kipindi nina umri wa miaka 7 nilikuwa naona anavyo mtesa mama yangu kumpiga kama mtoto wake vile
Sasa baba yangu pamoja na tabia zake hizo ni mtu ambaye anatafuta pesa saana na ana biashara vyake
Ana maduka na biashara vingine
Na biashara vyote hivo ameviweka nyumbani kwetu yaani kwa mama yangu
Lakini kwa mara hii amedumbukia kwenye penzi la kasister kamoja hivi
Mpaka sasa anataka kuamisha vitu vyake kwa mwanadada huyo eti kwa huyo dada ndo kuna sehemu nzuri ya kufanyia biashara lakini sisi tunaona anadanganya anataka kuamisha biashara vyake kutoka kwa mama na kuvipeleka kwa huyo mwanadada na hana mtoto naye
Apo ndipo kuna vurugo mpaka tunaona ni ajabu sasa maana pamoja na tabia zake hizo hakuna siku ambayo aliwahi kuamisha vitu kutoka kwa mama na kuvipeleka sehemu nyingine
Na kwa bahati mbaya hakuna mwanafamilia yeyote anaye mshauri tena wote wamesha choka na tabia zake na hata sisi watoto wake hatusikilizi
Ila nataka nijue kitu kimoja
Je kisheria sisi kama watoto tuna haki ya kukataa au kuzuia mali hizo?
Kijana baba yenu kasharogwa jiongeze muelekeze mama yenu mkamkomboe hizo sio akili zake, wanawake ni viumbe hatari sana yaan lengo ni kuiangamiza familia yenu ya wahuni maana mmezidi uhuni yaan baba mhuni mama mhuni na watoto wahuni na dawa ya mhuni ni kumfanyia uhuni kuliko uhuni wenyewe at the end of the day atafanya hivi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻 kwisha habari yakeBaba ana umri wa miaka 46 na huyo dada nafikiri anaweza kuwa na miaka 25 au 27
Atakataa kuwalipia ada.Wababa wanawaogopa watoto wao sana.
Mtafute pembeni, mchimbe biti la maana.
Magumu kivipi?!Ila maswali mengine MAGUMU😁😁😁iyo utasema Yale maswali ya primary"ukiwa XYZ=2xz tafuta umri wa kimada
Baba ana umri wa miaka 46 na huyo dada nafikiri anaweza kuwa na miaka 25 au 27
Solution kwa njia fupi,tombeni hiyo kimada yake. Atamtema tuMimi ni kijana nina umri wa miaka 23 katika familia yetu tumezaliwa watoto 5 na kwa bahati nzuri sisi wote ni wanaume na mimi ndiyo wa kwanza ndani ya familia yetu. Sisi tuna baba yetu ni mhuni, naweza kusema hivyo, maana anapenda wanawake kinoma.
Sasa baba yetu tabia yake ni hiyo ya kupenda wanawake sana, leo unaweza kusikia yupo na huyu kesho yupo na mwingine, yaani hatulii. Na tabia hiyo alianza kitambo sana, kipindi nina umri wa miaka 7 nilikuwa naona anavyomtesa mama yangu, kumpiga kama mtoto wake vile.
Sasa baba yangu pamoja na tabia zake hizo ni mtu ambaye anatafuta pesa sana na ana biashara zake, ana maduka na biashara nyingine. Na biashara zote hizo ameziweka nyumbani kwetu yaani kwa mama yangu, lakini kwa mara hii amedumbukia kwenye penzi la kadada kamoja hivi.
Mpaka sasa anataka kuamisha vitu vyake kwa mwanadada huyo, eti kwa huyo dada ndiyo kuna sehemu nzuri ya kufanyia biashara, lakini sisi tunaona anadanganya. Anataka kuamisha biashara vyake kutoka kwa mama na kuvipeleka kwa huyo mwanadada na hana mtoto naye.
Hapo ndipo kuna vurugo mpaka tunaona ni ajabu sasa, maana pamoja na tabia zake hizo hakuna siku ambayo aliwahi kuhamisha vitu kutoka kwa mama na kuvipeleka sehemu nyingine. Na kwa bahati mbaya hakuna mwanafamilia yeyote anayemshauri tena, wote wameshachoka na tabia zake na hata sisi watoto wake hatusikilizi.
Ila nataka nijue kitu kimoja,
Je, kisheria sisi kama watoto tuna haki ya kukataa au kuzuia mali hizo?