Naombeni Ushauri

Naombeni Ushauri

Crisheb956

Member
Joined
Dec 26, 2018
Posts
21
Reaction score
13
Mimi ni graduate wa BIT(Bachelor in Information Technology). Nahitaji kujiendeleza ili niwe valuable sasa au hata apo badae.

Na acknowledge uwepo wa professionals humu ndani na pia wenye experience na kazi za hapa na nje ya nchi ni wapi ambapo nikijiendeleza nitakua valuable asset ndani au hata nje ya nchi ???

Naombeni Ushauri nijiendeleze kivip???
1. Kama kusoma nijiendeleze sehemu gani ambazo zitaniwezesha kua valuable???

2. Kwa upande wa pili nifanye nini ili mwisho niweze kufikia lengo langu la kua valuable asset. Coz ajira ni ngumu naamini hiyo ni challenge kwangu kua Mgumu zaidi

Nashukuru in advance kwa msaada wenu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahitaji kujiendeleza vipi ndugu msomi?

Maana anaweza kuja mtu mwingine akajua unahitaji kuendelea kusoma na mwingine akajua labda ni career development..

Hebu tatua huu utata fasta kabla hao ma pro hawajaja.

Kanjanja nalala mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom