Shukrani kwa ushauriFanya buzness, I mean (kwa maoni yangu) kama hivyo vifaa vitakua na tija ya kiuchumi kwako (assets) nunua uwekeze ktk muda na taaluma yako.
Nyumba ni Liability sometime,
Jenga kwa profits si vinginevyo.
Pia kuna watu wametumia miaka kama 10, 20 kuandika vitabu, kuna maarifa mengi utajua nn chankufanya. I recommended RICH DAD POOR DAD BOOK WRITTEN BY ROBERT KYOSAKY.
N.K
Mim si mjuaji. ni hayo.
vitendea kazi ndugu yangu .Naungana na wachangiaji waliotangulia.
Ni vizuri ukazungusha kipato kidogo ulicho nacho, nyumba utajenga tuu.Usiangalie sana wanaokuzunguka, jiwekee mipango yako, mipango inayoendana na kipato chako.
Hivyo vifaa vya IT ni vifaa gani kwani?
Vinanunulika hivyo.Nunua ufanye biashara huku unajikusanya kujenga.vitendea kazi ndugu yangu .
Computer 1
Laptop 1
Box 3 n.k software