Naombeni ushauri.

mysimu

Senior Member
Joined
May 2, 2017
Posts
151
Reaction score
44
Niifanyeje simu yangu kwani kila nikiingia internate kuna mijitangazo inajitokeza kila baada ya dakika fulani nisioijua! Inani boa sana. Je kwenu munaipata hii hali au mimitu? Na je nifanyeje kuyakomesha haya matangazo ya marakwa mara kwenye simu yangu?
 
Matangazo kama yepi!!!

Mambo ya tecno hayo nunua simu nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…