shukraniPesa IPO mkuu ndioo maana jamaa anataka walipa ili aondolewe kwenye makato ya BancABC.
Ahsante kwa mchango wako pia.
Asilipe denied analodaiwaMkuuu funguka awarushe kwa namna gani ?
Hapo unajikomoa mwenyewe,Asilipe denied analodaiwa
Nashukuru kwa mchango wako muhimu sana.Namshauri aende makao makuu ya benki husika atapata msaada asiende kwenye branches zake kama itasumbua moja kwa moja ni BOT kwenye dawati la maridhiano watatandikwa barua ya kushughulikia swala lako asiogope
Akhsante kwa mchango wako muhimu na wenye umuhimu.Sijawahi kuona mdai anayejizungusha unapotaka kumlipa deni lake. Lakini kwa benki wao wanataka profit zaidi ya kulipwa salio. Hapo inabidi umwambie yule mwanasheria aliyesaini mkataba wa mkopo awaandikie intention yako ya kulipa deni lote aweke na tarehe/mwezi unayotaka kulipa hilo salio.
Hapo wanakuwa hawana nguvu maana wakipelekwa mahakamani wanaweza kujikuta wanakulipa badala ya wewe kuwalipa.