Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,629
- 112,425
natambua hicho lakini nampenda sana japo yy hanitaki so friend tell me what to do
yeye yupo tra.mimi ni mwalimu
tulikuwa na makubaliano ya kuoana
Mimi ni kijana nina wa miaka
26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm
nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia
hadi kupata mtoto wa kike tukiwa mwaka wa pili.tuliishi geto kwa
kutegemea boom hadi tuka maliza chuo mwaka jana.Tatizo nililo nalo ni
kwamba tangia tupate kazi mwenzangu hanitaki tena mbaya zaidi hataki
hata mtoto aje kwangu kunisalimia.pia mm muda wa kuoa umefika.so
members wha can ido?j
natambua hicho lakini nampenda sana japo yy hanitaki so friend tell me what to do
Laki moja unusu waona yatosha mkuu?
Ndio maana nimeandika hapo juu kuwa kuna some sort of dissatisfactions toka kwa huyo bi mkubwa.
Sasa to get her back wahitaji uwe na kisu kirefu kaka, otherwise tafuta ustaarabu mwingine maana ameshakuondoa akilini huyo.
sasa ukimkumbushia hiyo ahadi yeye anasemaje?
Ninaamini huyo mtoto sio wako miaka 26 ulikuwa bado mtoto . Look here !! Binti mwenyewe Mchaga. Anafanya kazi TRA halafu bado wewe ni mwalimu yaani kada inayo puuzaw na serikali anza ukurasa mpya tafuta mwalimu mwenzio ukimng'ang'ania utakufa siku sio zako.
aaaah kwshine hapo TRA hawajamwacha ...........we anza kutafuta michakato mingine tu aisee ila usiache kupeleka matumizi ya mtoto na ukikutana nae aisee jaribu kupima kwanza au tumia kinga kabisa ...................
Kuanza upya si tatizo, alikubali kukaa na wewe coz hakuwa na uhakika wa kujimudu na kujisimamia, usilazimishe kaka hautokula peke yako. Mwache aende kiroho safi na suala la mtoto zungumzeni na unaweza jaribu kuwashirikisha watu wa karibu zaidi.Mimi ni kijana nina wa miaka 26,miaka minne iliyopita nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar udsm nilifanikiwa kumpata binti mmoja wa kichaga tulipendana sana ikafikia hadi kupata mtoto wa kike tukiwa mwaka wa pili.tuliishi geto kwa kutegemea boom hadi tuka maliza chuo mwaka jana.Tatizo nililo nalo ni kwamba tangia tupate kazi mwenzangu hanitaki tena mbaya zaidi hataki hata mtoto aje kwangu kunisalimia.pia mm muda wa kuoa umefika.so members wha can ido?j
^^
Sijui tutumie mfumo gani ili tuwe tunasikia na upande wa pili.. Maana tunashauri kwa kutazama upande mmoja,mi naamini huyo dada akileta maelezo yake,,mambo yatachukua sura nyingine
^^
Mh! Ninawaswasi huenda hata huyo mtoto si wako.
^^
Sijui tutumie mfumo gani ili tuwe tunasikia na upande wa pili.. Maana tunashauri kwa kutazama upande mmoja,mi naamini huyo dada akileta maelezo yake,,mambo yatachukua sura nyingine
^^
yeye yupo tra.mimi ni mwalimu
huyo mdada hakuwa na mapenzi ya kwel na wewe.au amekudhalau baada ya kukupita kipato.usilazimishe mapenzi kaka mwisho wa siku ukajikuta unaumia zaid ya hapo.huwezi jua mungu kakupangia nin mbele .. na pia usiache kumuhudumia mtoto huyo hana hatia na yenu..