Naombeni ushauri wapendwa

yawezekana wewe ndo una kasoro. pia hayupo binadama mkamilifu, utachagua sana mwisho utaoa kibaka
 
Tatzo sio sex, au tendo la ndoa, sitaki nioe afu nifurahie Mke kwa muda afu Badaye nimchukie
mkuu hakuna mwanaume anayeishi na mwanamke bado anampenda, ndoa zote tunaishi kwa kuvumilia mengi tu so kama unajidanganya utampenda mkeo miaka 10 , brother sahau hiyo kabisa ,ikizidi ni 3years maudhi yanaanza. utapangiwa mpaka siku za kupeewa K
 
Matatizo kama haya yapo kwa watu wengi usidhani upo peke yako lamsingi muombe mungu akuondolee roho ya kukinai kitu. Nina rafiki yangu yeye alikuwa na uwezo wa kukaa katika mahusiano kweli kwa mda mrefu na akadumisha mapenzi tatizo lake yeye alikuwa mwoga kukaa au kulala chumba kimoja na msichana jambo lingine alikuwa anaogopa kuoa kwa sababu alikua akijitazama yale madhaifu aliyo nayo kama vile yeye hana kazi pili hana maisha mazuri kama vijana wengine,
 
Hakuna aliyekamilika kila binadamu ana mapungufu yake. Jilipue ukishindwa tafuta malaika uoe.
 
kuwa Padre
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…