Naombeni ushauri wapendwa

Hapa sasa naelewa kuwa tatizo linaweza pia kua huyo mwanamke uliye achana naye ndo alikua wako kweli kweli sasa baada ya kumpoteza hakuna ambae unaona anakuja au ana meet zile standard za yule ambae ulikua nae (kwa kifupi ni kwamba ulitake her for granted then ameondoka ) kama unaweza Fanya mpango umrudie ila hata kama haiwezekani kutokana na nature ya maisha basi usihofu sana Fanya kua social na njia kama nilivyo eleza katika posti yangu #39
 
dah pole boss.....but jitaidi kutokujiona una vigezo vikubwa zaidi ya wenzio alafu kila mtu muone yuko ok na anastahili kupendwa
 
jinsia yako
umekamilika nini?
 
Dume la dar hiloo.......!

mkuu hembu jaribu kutafuta aliyekuzidi umri hivi kama 45+ asee utapenda mwenyewe.., yani utaona kama ulikuwa unachelewa kufanya maamuzi haya
 
Dume la dar hiloo.......!

mkuu hembu jaribu kutafuta aliyekuzidi umri hivi kama 45+ asee utapenda mwenyewe.., yani utaona kama ulikuwa unachelewa kufanya maamuzi haya
[emoji23][emoji23][emoji23] Sawa sawaa Boss..
 
Siku ukatambua kwamba binadam tuna mapungufu utatulia na kuwaza positive
 
Hayo ni madhara ya kulia chakula jikoni kabla hakijaiva na kupakuliwa..... Tafuta umpendae, umuoe bila kufanya nae tendo la ndoa!

Dunia hii tunayoishi, labda ndotoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…