fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
mimi zaidi mpendwa, halafu mitaa sijapita siku nyingiAsante.
Nimekuham mpendwa
Sio jini mahaba maana Sio Kwamba nasex nao kila ninayekutana nayeUna jini mahaba wewe
Basi una hila weyeSio jini mahaba maana Sio Kwamba nasex nao kila ninayekutana naye
Haya weka mikono juu naanza maombi pia usisahau kufumba macoKaribu PM uniombee[emoji3]
Haya weka mikono juu naanza maombi pia usisahau kufumba maco
Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje
Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje
Em tafuta USO wa Mungu kwanza...isije kuwa unashida kwenye ulimwengu wa Roho.
una maushauri mazuri sana
big up mkuu
WoouzzerrrrMama MCHUNGAJIIIIII
ila mchunga huchungwaWoouzzerrrr
Ndiiiyoooo[emoji13][emoji13][emoji13]ila mchunga huchungwa
Asante mkuu, Labda niweke wazi kitu kimoja, hii imenitokea toka miaka mitatu iliyopita, niliacha na mpnz wangu baada ya kupishana mitazamo, kiukweli nilikuwa nampenda saaana huyu bibie, from there nikijaribu kuanza mahusiano namchukia baada ya muda mfupi namwona hafai, natamani kuoa na kuwa na familia sasa jamaniHabari yako Mdogo wangu?
Ukiweza kuacha tabia ya ujivuni na kujisikia utaweza kuishi na mwanamke na hapa naliona tatizo jingine hapa una mahusiano mabaya pia hata na vijana wenzio kwa tatizo la ujivuni.
Dawa ziko mbili hapa na zote ni CHUNGU kweli kweli.
Karibu
- Msingi mkubwa wa mahusiano ya aina yeyote yawe ni BABA, MAMA, RAFIKI AU MPENZI(DEMU) ni ku compromise, kama jambo hili hutaki kulipa nafasi kwenye akili yako huwezi kuwa na uhusiano na mtu wa kawaida labda awe anazo chembe za umalaika.
- Mfano wa compromises.
- Wewe ni mfanyakazi ambaye unahakikisha dawati lako halibaki na kazi yeyote ya siku hiyo kabla ya kwenda nyumbani hivyo kujikuta kila cku unarudi nyumbani saa nne usiku, badilisha utaratibu na amua katika wiki at most siku tatu unarudi nyumbani na kula chakula cha jioni na familia.
- Au wewe si mpenzi wa kwenda MOVIES ila mwenza anapenda, jitahidi hata kwa mwezi mara mbili uwe unaenda naye.
- Wewe ni mvutaji wa sigara au mnywaji wa pombe na mwenzako anakereka na tabia hiyo hakikisha unakuwa soba mara nyingi unapokua naye au unatumia vitu vinavyokata harufu mdomoni kabla ya kumsogelea
- Kama namba moja imekushinda, hapa jaribu kutafuta mtu ambaye kwa mtizamo wa nje na wa ndani kakuzidi kivigezo,. kisaikolojia hii itakusaidia wewe kumpa thamani ya juu na kuing'ang'ania ile thamani isikutoke na kwa mantiki hiyo utajikuta automatical indirect unaanza kujifunza namba moja ambayo ni ku compromise.
HILI NDIO TATIZO KUBWA LINALOKUSIBUkila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu,
Usijitese wala usuje kumtesa mtoto wawatu,subiria utakua tayari ipi siku huenda umetendwa na ndio sababu ukachukia,au bado hujaamua kutoka moyoni sasa usijilazimishe.Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje
Kulingana na watu WA psychology wewe ni perfectionist ambae unataka kila kitu kiende kama vile wewe unavyo taka au vile unaona sasa shida yenu nyinyi mnapo ona mambo hayako kama mnavyotaka mnakua dis-blessedNaombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje
Njoo kwa ajili ya canselling bei 350,000/=Una jini mahaba wewe