wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Hata nisipofanya ngono, yaani ni kama mtu unavyopoteza appetite ukiona chakulaDawa jitahidi kadiri inavyowezekano usifanye nae ngono mpaka muoane
Tatzo sio sex, au tendo la ndoa, sitaki nioe afu nifurahie Mke kwa muda afu Badaye nimchukieHayo ni madhara ya kulia chakula jikoni kabla hakijaiva na kupakuliwa..... Tafuta umpendae, umuoe bila kufanya nae tendo la ndoa!
Ukishamuoa kisaikolojia utajua kwamba huwezi kumuacha mpaka kifo kiwatenganishe hivyo itakuwa ngumu kuuacha kirahisi. Mapungufu aliyonayo utaweza tu kuyavumilia tofauti na ilivyo sasa.Tatzo sio sex, au tendo la ndoa, sitaki nioe afu nifurahie Mke kwa muda afu Badaye nimchukie
NotedUkishamuoa kisaikolojia utajua kwamba huwezi kumuacha mpaka kifo kiwatenganishe hivyo itakuwa ngumu kuuacha kirahisi. Mapungufu aliyonayo utaweza tu kuyavumilia tofauti na ilivyo sasa.
una maushauri mazuri sanaUkishamuoa kisaikolojia utajua kwamba huwezi kumuacha mpaka kifo kiwatenganishe hivyo itakuwa ngumu kuuacha kirahisi. Mapungufu aliyonayo utaweza tu kuyavumilia tofauti na ilivyo sasa.
Hahahahaa...[emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ni madhara ya kulia chakula jikoni kabla hakijaiva na kupakuliwa..... Tafuta umpendae, umuoe bila kufanya nae tendo la ndoa!
HeheheeeNjo nikuombee utakua na manyau nyau kichwan wewe
Asante.una maushauri mazuri sana
big up mkuu
Njo nikuombee utakua na manyau nyau kichwan wewe
Shida ni kwamba si kumwacha ni kuja kumnyanyasa bila sababu.Ukishamuoa kisaikolojia utajua kwamba huwezi kumuacha mpaka kifo kiwatenganishe hivyo itakuwa ngumu kuuacha kirahisi. Mapungufu aliyonayo utaweza tu kuyavumilia tofauti na ilivyo sasa.