Dah!
Nakuonea huruma sana! (sitoe hata senti 5! Usije ukaniambia kama nakuhurumia nikusaidie kulipa!)
Nakuonea huruma kwa uboya uliofanya na wanaMMU wa(tu)navyokuzodoa!
...
Apa usitafute mchawi, ni wewe ndie umekwenda against na instruction ulizopewa!
...
Hapo wewe msubirie umuombe msamaha tu hakuna jengine!
...
If kakubali or kakataa, jifunze kitu hapo! Si kila unachoona ni Moral kwako wewe ukadhani kitakua Moral kwa wengine!
...
For sure umefanya uboya wa hali ya juu!
asingeenda angeonekana ana roho mbaya, hajali
angeenda bila kuchangia kitu napo ingekuwa kazi asingeeleweka!!!!
ameenda kwa kutumia hela za swittie nayo balaaa!!!
binadam hatuna jema!!
swali kwa mtoa mada
mwanamke wako alikuwa anajua kuwa kuna shughuli hyo na kuwa huko kijijini hawana uwezo wanantegemea yy?
n if so alikupa maelezo yyt kuhusiana na hilo?
if no y hukumuuliza b4 hujaenda huko kijijini