Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
. Nimeplan kuduu nae mpaka ndoa iwe imefungwa.
/FONT]
mmmmmhmmmh!
Unaguna kama vile unasumbuliwa na haja ya mabungo bana...
Mambo bien...
Aje aje na wewe?
mimi sijambo hamisi, nataka nikuulize. utanijibu?
Ntakujibu na bonus juu.
sawa kishindindo.
Na mi nataka nikuulize kitu. Utanijibu?
mimi sitokujibu
Kwa nini Mwajuma?
sina jibu la swali lako hamisi.
Kwa nini huna jibu la swali langu Mwajuma?
hata siju kwanini, wewe unajua?
Kwa nini hujui? Na kwa nini unaniuliza kama mimi najua?
kwasababu nataka kujua kama unajua.
Kwa nini unataka kujua kama najua?