Naombeni ushauri wakuu

kaka shukuru Mungu amekuambia hana hisia na wewe cha msingi achana nae utateseka kama sio kujitesa
mimi wangu aliniletea mambo kama yako nikamwambia nimeshindwa mimi sasa hivi ni wiki ya pili naugulia maumivu coz bado nampenda ila imenibidi niondoke mwenyewe najua atanitesa maana hana hisia na mimi tena
Kaka pole sana mkuu, yatapita tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom