Naombeni ushauri wadau

FROWIN

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
213
Reaction score
84
Wakuu,Naombeni ushauri ,nimetengeneza mtandao wa kijamii wenye mazingira mbalimbali kama vile,Habari kwa ujumla,forum,Mtandao na Link ya ajira,Ikiwa kama ni wataalamu naombeni ushauri wa kimawazo kwani bado ipo kwenye marekebisho makubwa.Mtandao unaitwa mtanzaniaforums dot com,au ingia mojakwa moja kwenye google search mtanzaniaforums utapata link yake. Aksante
 
sasa kwanini usiweke link hapa mkuu?
 
Link haikubali naona admin hataki niweke link ya hii kitu hapa ,nilishaweka wiki mbili zilizopita wakaifungia account yangu
 
Site ni hii , mtanzaniaforums dot com
 
Site ni hii ............mtanzaniaforums(dot)com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…