Ushauri wangu kabla hujanunua hilo trekta, anza kufatilia mikoa ipi wanahitaji kukodi na kiasi gani utapata kwa ekari. Biashara kuifanya bila ya kuifatilia utavunjika moyo mapema au utaibiwa kwa sababu watakujua mgeni kwenye ulimwengu wa biashara. [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app