Naombeni ushauri wa kuhakiki chuo

Naombeni ushauri wa kuhakiki chuo

Jiwe kuu01

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
228
Reaction score
86
Habari zenu wana JF nina Rafiki yangu amechaguliwa Bsc in Wildlife Conservation pale UDSM na Humani Nutrition pale SUA
ameshindwa ku-confirm anaomba USHAURI aende kozi gani kati ya hizo mbili.

USHAURI WENU WAKUU
 
Back
Top Bottom