unatumia apps nyingi sana kwa mpigo ndio maana.
bonyeza button ya home kwa nguvu kisha click task manager (alama ya kiduara cheupe) utapelekwa sehemu uya kuimanage simu. funga app usizotumia, clear ram na kufanya optimization nyengine.
hakikisha pia hutumii vpn na app nyengine ambazo permanent zipo on.