jiwefamily
New Member
- Dec 4, 2017
- 1
- 20
nahitaji kufanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume ..ni mtaji kiasi gani nahitaji kuwa nao!? je ni wapi naweza pata mzigo mzuri
Nahitaji hii kitu pia ngja waje wajuzi wa mambonahitaji kufanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume ..ni mtaji kiasi gani nahitaji kuwa nao!? je ni wapi naweza pata mzigo mzuri
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us