Kwa maelezo tayari umeshagundua tatizo langu, vp linatibika lakini?Unatatizo la Bawasiri (haemorrhoid).
Nenda hospital mapema kabla tatizo halijawa kubwa.
Ukitegea upasuaji utakuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa aisee hujafa hujaumbika
ukiwah linatibika otherwise utafanyiwa upasuaji mdogo kuondoa uvimbeKwa maelezo tayari umeshagundua tatizo langu, vp linatibika lakini?
Hospital hata ya levo ya kituo cha afya inatibu? Au mpaka hospital ya Mkoa ,nasema hivyo kwa sababu nipo mbali na mjini
Asanteukiwah linatibika otherwise utafanyiwa upasuaji mdogo kuondoa uvimbe
Hakuna uvimbe kwa kuoneka yaani kama mwinuko fulani. Pia dokta vp dawa zake ni zpi na vpimo vyake vikojeukiwah linatibika otherwise utafanyiwa upasuaji mdogo kuondoa uvimbe
Tatizo hilo sio kubwa. Nenda kituo chochote cha afya utapewa maelekezo dawa gani utumie kulingana na ukubwa wa tatizo, kama hawana watakuandikai utatafuta kwenye famasi Yoyote.Hospital hata ya levo ya kituo cha afya inatibu? Au mpaka hospital ya Mkoa ,nasema hivyo kwa sababu nipo mbali na mjini
kuna dawa ukienda hospital utapewa Kuna za kuingiza sehemu ya haja kubwa pia na vidonge unameza na utapewa dawa ya kupaka sehemu hiyo ya haja kubwaHakuna uvimbe kwa kuoneka yaani kama mwinuko fulani. Pia dokta vp dawa zake ni zpi na vpimo vyake vikoje
Kuna mtu kanitisha kwel, eti ukifanyiwa opereshen huponi et tatizo linatibiwa kiinyejiMkuu hiyo ni bawasiri ila inatibika iwahi kuna vidonge wanaweza kukupa unaingiza kwenye kinyeleo(ndukum) kwa muda inapona,kula mlo sahihi mkuu,maji mengi ila usibebe vitu vizito pia sana ila kama uko kwenye sekta ya ulinzi huo ugonjwa upo sana kulingana na majukumu ya kule hasa kipindi cha kozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kanitisha kwel, eti ukifanyiwa opereshen huponi et tatizo linatibiwa kiinyeji
Usije kuwa unachanganya nilichokiandika post #15,nilichosema usirubuniwe na watu wanaouza madawa ya kienyeji kutumia dawa zao bila kujua tatizo lako limefikia stage gani nenda kwenye matibabu ya kisasa utapona,obviously ugonjwa wowote ukiuzembea utakuuwa so usiseme nimekutisha wahi hospital.Sir_Mimi,
Bro . Unanitisha ile mbaya
Kiukwel ni Mawazo yasiyo ishapole sana mwana..kwahiyo ww kukata gogo ni kama upo vitani...
tembelea wataalamu wa afya watakushauri vema..
Jf Doctors wapo humu