Naombeni ushauri tafadhali

mwanaume una kata tamaa siyo vizuri be strong you never know tulia kwanza huwezi jua Mungu ana kuepushia nini
 

Kwani una umri gani? Na huyo mwenzako yupo darasa la ngapi?

Maana sitaki kuamini Mwanaume uliekamilika waweza kata tamaa yamaisha eti kwasababu umeachwa! Sasa maisha yakiwa magum itakuwaje? Sindio mwanzo wakuchanganyikiwa au kujitundika!

Au labda upo adolescent period? Maana tunaweza tukawa tunajadili swala kumbe ndo unauacha utoto' na hauskii wala haumbiwi juu ya huyo mwanamke!
 
...hapa duniani Kuna vitu viwili visivyotabilika hata kwa kupiga ramli....

(1) Wanawake

(2)Weather

Si mnawaona TMA wanavyochemka kila siku...
 

daah sijui unanikejeli au vp?
sipendi hii hali mimi! lakini ni nature! mimi sio wa kwanza watu kibao yamewakuta!!
nipo hapa kuomba msaada wenu! ni kweli nipo katika hali ya kuchanganyikiwa nilitamani hata niende kwa kalumanzila mpnz wangu huyu arudi
 
Dada yangu wanawake katika mia unaweza kupata wawil wenye true love
Wanasema kabisa bora nife mapema kwa kua na maisha mazuri kuliko kufa kikongwe na maisha magumu
Wanawake ndo mnatufanya tuibe na kufingwa jela ili kuwalidhisha
Mf kajala masanja

basi mie niko kwenye hao wawili

what matters to me is IF YOU TRULY LOVE ME
 
Najua mapenzi yanaumiza na pia yanafurahisha lakini kitu kama hicho kikikutokea inakupasa uwe na nguvu wakati mwingine ya kulet go maana unweza kuumia sana mwisho aski humpati kabisa au ukampotezea mwisho asiku akijileta mwenyewe. so take sometime alone atakuja au asije mwisho asiku
 
 
sikuwahi kujua mapenzi kama yanaumiza hivyo!!!
asanteni kwa pm zenu pia na post zenu
 
pole mkuu
inaonekana kinachokusumbua ni upweke.
ili kupunguza upweke huo ulionao inabidi umtafute mwingine wa kuziba hiyo nafasi hata kama wa kuzugia ili upunguze maumivu uliyokuwa nayo.
jikaza mkuu ukisema umekata tamaa ya kuishi nafsi yako haujaitendea haki kumbuka hayo ni maisha yako lazima usimame imara ktk kipindi hiki kigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…