Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

Acha kufanya kazi nzito kama kubeba zege,kunyanyua vitu vizito n.k
Badala yake ufanye mazoezi ya kutembea haraka Kwa angalau dakika 45 kila siku. Epuka vyakula vya mafuta,vyakula vya wanga mwingi na badala take ule mboga za majani Kwa wingi na matunda. Punguza unywaji Wa pombe na upate usingizi Wa kutosha. Ndani ya mwezi hali itabadilika na hutaamini
 
Mkuu nna tatzo kama hili kutokana na punyeto uume hausimam kabsa hata jana nmeshndw kupga show..... Naanza doz hii ss hv eeee mwnyz mungu nisaidie
 
Nanyi! chuo bado hamjaenda? tumechoka na mada zenu za punyeto
 
Good na upo sahihi, infact tiba ni kuacha kabisa punyeto na ngono na chochote kinacholeta msisimko wa ngono kwa muda usiopungua miezi mitatu huku anakula vizuri na mazoezi mepesi. Baada ya hapo tatizo litakuwa limepungua kwa asilimia zaidi ya 60. Arudi kwenye mapenzi kwa adabu akifanya kila siku ataharibu healing process, ajitahidi asizidi mara moja kwa wiki katika miezi mitatu mingine, hapo healing itafikia angalau asilimia 75. From there miezi mitatu mingine asizidi sex mara mbili kwa wiki. Baada ya hapo atakuwa amepona tatizo kwa zaidi ya asilimia 90. Hiyo ndiyo tiba, hakuna tiba nyingine kwa waathirika wa punyeto, usidanganywe, tiba ni abstainance plus kula virutubisho. Na kwa kuwa ameoa, tiba hii lazima kumshirikisha mkewe maana ni sehemu ya matibabu na lazima akuvumilie ile miezi mitatu ya mwanzo ya kuto kufanya tendo kabisa na ile miezi mitatu ya Kwa wiki mara moja. Bila kumshirikisha mwenza huwezi kufaulu labda awe amesafiri kwa miezi sita
 

hausumbuliwi na punyeto , Punyeto haisababishi uume kulegea, alafu unapigaje punyeto at 30’s !!!! ungetakiwa kuacha ukiwa 19 au 20 kamili, anyway dawa ya punyeto ni mwanamke , wao ndio wanajua kukufanya vipi hadi uache
 
Haya ni mafundisho ya uvunjaji wa ndoa indirectly. Yaani miezi 3 unaangaliana tu na mke? Realy then miezi 3 tena ya kumpa nusu nusu!!!! Usipotoshe watu ww
 
How come wanawake wote hawa upige punyeto.
Kama hayakukuta usiulize Bali asaidiwe.Maamuzi ya kwanza kupiga huo mziki ni yako mwenyewe kwani unaweza kuamua kukataa hizo fikira.Lakini ukirudia tena na tena ujue kuwa sio wewe unayetawala fikira zako Bali ni shetani na hapo huna uwezo wa kuacha tena.Amshukuru Mungu machale yalimcheza.Atapona na asimfiche mkewe yaliyomsibu na amshuru Mungu kwamba ameacha
 
Ni kweli mkuu kuacha kupiga punyeto ndo tiba ya kwanza kabisa kwasbu tatizo kubwa uwa ni saikolojia kuathirika.Kuna ushuhuda humu JF ameandika jamaa mmoja NILIPONA PUNYETO KWA KUJIAMINI ebu google hayo maneno utakutana na ushuhuda murua sana huyo jamaa mwanzon anaanza kwa kusema yeye taaluma yake ni daktari na aliponyeshwa na nesi wake kitandani kwenye game. Ushuhuda mwingine humu JF search baba Rhobi huyu jamaa nae aliponeshwa na mdalasini na karafuu unga wake unachanganya na asali asubuhi na jioni unalamba vijiko viwili huyo jamaa anasimulia jinsi alivyoaibika mbele ya halima mabomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…