Naombeni ushauri niko dilema


Akuchukue wewe uwe wa kuzugia
 
Achana na mke wa rafiki yako, usijaribu kufanya anachotaka
 
Hao wanawake watakuwa aidha wairaki au warangi, mana ndo kawaida yao
 
Mkuu Huyo Dada atakuponza achanae endelea kumheshimu tu ila tatizo lako unaonekana Haujaoa ndo maana umefungua mlango huo Ushauri wangu Oa ili ufunge Huo mlango
 
na hapa ndo nazidi kujifunza kua ukitaka kumpata mwanamke jenga nae mazoea kwanza akuzeee,,utawavua sana
 
Usithubutu kumla huyo mke wa rafiki yako

Wala usitishike na hayo matisho yake.

Katika hilo kua na msimamo wa kiume.

Na uache kuchanganya hao wadogo zake. Chagua moja ubaki nae ama uachane na wote
 
Duh,,,,ndugu hicho kisa ndio kilinitokea kwa rafiki yangu alinidanganya yuko singo kumbe ananizunguka kwa mdgowangu wa form four bhna,,,nilikuja kustuka mpaka Leo n kama paka na mbwa,,maana niliwabamba live na msela akawa anaendelea kunidanganya
 
Bomu ulilolitega sasa karibu linalipuka, dawa ni kutoka nduki tu si vinginevyo.
 
Nikushauri tu mpigie mshkaji wako simu ongea nae kiume kuhusu swala la mkeo ila pia kuhusu swala la wadgo hap ushajitengenezea mipaka baina ya hiyo familia icho kitakukosti saana chamsingi wapotezee wote,,hizo ni tamaaa ulishindwa kuwa mvumilivu kama mshkaji alikuamini ivo hujamtendea haki urafik wenu ushaingia Bonge la kikwazo mda wwte kitalipuka n bora ungemwambia msela mapema kuwa kuna UA umeliona pale nyumbani kwake akikupa idhini sawa but hata sasa unaweza ukamwambia kiutaratibu umsikie anapokea VIP,,,,lkn hapo umemuoneshea jamaa zarau za hali ya juu,,,WADADA WENGI NDIO CHANZO CHA KUUVUNJA URAFIKI WA WANAUME WENGI,
 
Nenda kamuuzie Ray Kigosi mkuu, ndio muvi zetu hizo wabongo... Daah, unajua kuandaa story mkuu, acha kabisa..
 
PIA BOMU LIKILIPUKA USISAHAU KULILETA HAPA TUKUPE NJIA ZA KUOMBA RADHI KWA MSELA AKO KAMA UTAONA BADO ANAMAANA KWAKO AU KAMA UNAONA PIA HANA MAANA KWAKO TUTAKUSHAURI PIA
 
Mla huliwa

Anyway mke wa jamaaa
Atakua mtam co kitoto
Kama unajiamin jikaze tu
Ukambanjue chali ang
 
asante sana mkuu kwa ushauri hichi kisa ni cha kweli sio cha kutunga
Nami nasisitiza, usiende tena kwa rafiki yako kama yeye hayupo.

Hata iweje, kama kutakua na ulazima sana wa kwenda kama yeye hayupo basi tafuta mtu mwingine uende nae...chukua hata bodaboda hata kama ni karibu akusubirie muda wote hadi unaondoka. Anaweza kuja kukusaidia mbeleni.

Mwisho huyo Mke wa jamaa usithubutu, na hao wadogo kama huna future nao achana nao utakuja shindwa pa kutokea siku ya siku na kama una mpango na yeye uishi nae mbeleni basi tafuta namna rafiki yako ajue mapema usimshtukize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…