Naombeni ushauri, nifanyeje?

Naombeni ushauri, nifanyeje?

MELAND

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
11
Reaction score
2
Shikamoni wakubwa wote, na wadogo mambo? Mimi ni kijana nasoma kidato cha sita, nilishawahi kuwa na mpenzi nikiwa o level kwa bahati nzuri au mbaya ujana ulimzidi tukaachana nikawa nimeamua kuachana na habari hizo na kukomaa na shule. Kwa sasa natamani kuwa na mtu lakini bado nahic inawezb tokea tena hasa nikiangalia jinsi hali ya mairha sasa ilivyo. Naomba ushauri
 
umemaliza kusoma vtabu vyako vyote vya shule ndo waingia humu??? ebu concentrate wic ur buks young boy,it will do u some gud.
 
Enyi vijana sikilizeniii,mnapokuwa masomonii,acheni mchezo wa mapenzii unawapa shida oh wazazi wenuuu!!!
 
[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]Mithali[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]13[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Mithali[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]14[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Usiingie katika njia ya waovu, Wala usitembee katika njia ya wabaya. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Mithali[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]15[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kidato cha 6.........hata kuandika vizuri kwenye keybord bado ni tatizo........
 
Shule na mapenzi wapi na wapi bhanaa...hela yenyewe hadi mzazi afurahi ndio nawe hazina yako yatunishwa.

Soma kijana soma...hizo mbunye utazipata tu siku miaka michache ijayo...
 
bila mbunye masomo hayaendi watu8
 
Last edited by a moderator:
Shule na mapenzi wapi na wapi bhanaa...hela yenyewe hadi mzazi afurahi ndio nawe hazina yako yatunishwa.

Soma kijana soma...hizo mbunye utazipata tu siku miaka michache ijayo...

mbunye ndo kila kitu
 
Soma mapenzi baadae ukiwa ushaweka maisha yako fresh
 
Back
Top Bottom