hawa wanawake mnaowalea hivi mnawatoa wapi?
ina maana mkeo hana hata kashughuli kadogo ka kumfanya apate hata nauli!!
yaani mtu aje hospital wewe mgonjwa ndio utoe nauli ya yeye kurudia nyumbani!!
una hatari wewe, yawezekana alipitia kutafuta hela za chakula cha kukuletea.