Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

jamiimemba

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
156
Reaction score
39
Nimekuja kwenu wanajamvi kutaka ushauri kutoka kwa kila mmoja wenu.

Ni kwamba kuna demu nilikutana nae hapa town Dar es salaam mwaka juzi wakati yeye amemalza chuo UDSM.Sasa kiukweli nilimtamani tu sikumpenda toka moyoni nami kipindi hicho nilikuwa sina mtu sasa nikamtongoza akanikubalia na kiukwel alinipenda na ananipenda sana tena zaidi ya sana,akusita kunipa tunda la kati kati baada ya yeye kuajiliwa yeye alipata Iringa kazi so akaenda nami nikabaki DSM naendelewa na mishemishe zangu za kuuza nguo dukani kwangu.

Ikapita kama miezi miwili akaniambia ana mimba na akaniambia nisiwe na wasiwasi kama sina hela ya kumlea mtoto yey ingawa kwao mpaka saiz sijaenda kujitambulisha kwa kuwa ana ajira haita kuwa tatzo kabisa sababu anamshara mzuri so kwa kpnd ambacho tulikuwa mbali mbali nilikutana na mrembo ambae ndio nimempenda kwa dhat lakini yeye hana kazi cause alifeli huko O level.

Sasa niko njia panda naitaji mnisaidie kunionyesha direction wakuu cause yule demu wangu saizi anamtoto wangu ila ndo ananipenda sana ingawa mi sijapenda sana yani sio kwa dhat ingawa huwa akipata mshahara vi laki laki huwa ananirushia sana yani kiukweli ananipenda na saizi anasema anataka akope mkopo wa mili 7 anipe niongezee kwenye biashara yangu ili ikue zaidi ila naogopa kuchukua hizo hela.

Alafu badae nimwambie kuwa simuitaji na anaweza akazimia kwa jinsi anavyonipenda ila nngekuwa nae nahis tungepata mafanikio haraka sana ila ndo hiyvo sijampenda kutoka moyoni sio nimekuja kuomba ushauri kwenu wakuu kama niendelee nae au nimuache mapema kabla penzi letu alijaota mizizi na kunipa hyo miela then niwe na huyo mrembo mwngne ambae ndo nampenda kwa dhat ila hana mawazo makubwa kimaisha.

Natanguliza shukurani zangu za awali.


 
nimekuja kwenu wanajamv kutaka ushauri kutoka kwa kila mmoja wenu,ni kwamba kuna demu nilikutana nae hapa town dsm mwaka juzi wakat yey amemalza chuo udsm sasa kiukwel nilimtamani tu ckumpenda toka moyoni nami kipnd hcho nilikuwa cna mtu sasa nikamtongoza akanikubalia na kiukwel alinipenda na ananipenda sana tena zaid ya sana,akusita kunipa tunda la kati kati baada ya yeye kuajiliwa yey alipata iringa kazi so akaenda nami nikabaki dsm naendelewa na mishemishe zangu za kuuza nguo dukani kwangu ikapta kama miezi 2 akaniambia mimba na akaniambia nisiwe na wasiwasi kama sina hela ya kumlea mtoto yey ingawa kwao mpaka saiz cjaenda kujitambulisha kwa kuwa ana ajira haita kuwa tatzo kabisa coz anamshara mzuri so kwa kpnd ambacho tulikuwa mbali mbali nilikutana na mrembo ambae ndo nimempenda kwa dhat lakn yey hana kaz coz alifel huko o level sasa niko njia panda naitaji mnisaidie kunionyesha direction wakuu coz yule demu wangu saiz anamtoto wangu ila ndo ananipenda sana ingawa mi cjapenda sana yan co kwa dhat ingawa huwa akipata mshahara vi laki laki huwa ananirushia sana yan kiukwel ananipenda na saiz anasema anataka akope mkopo wa mili 7 anipe niongezee kwenye biashara yangu ili ikue zaid ila naogopa kuchukua hzo hela alaf badae nimwambie kuwa cmuitaji na anaweza akazimia kwa jinsi anavyonipenda ila nngekuwa nae nahis tungepata mafanikio haraka sana ila ndo hvo cjampenda kutoka moyoni so nimekuja kuomba ushauri kwenu wakuu kama niendelee nae au nimuache mapema kabla penz letu alijaota miziz na kunipa hyo miela then niwe na huyo mrembo mwngne ambae ndo nampenda kwa dhat ila hana mawazo makubwa kimaisha...natanguliza shukuran zangu za awali ..
by john s

Sikia dogo hatakama anasura mbaya vipi itazoeleka tu lakini umasikini hauzoeleki, tumia bongo.
 
Hapo ndio unakosea,WIFE MATERIAL ni tabia,SURA hata VYANGUDOA wanazo!Acha perception za ujana,hiyo ni bahati usiichezee!
 
Hapo ndio unakosea,WIFE MATERIAL ni tabia,SURA hata VYANGUDOA wanazo!Acha perception za ujana,hiyo ni bahati usiichezee!

sawa mkuu lakn nahis after some years uzalendo unaweza ukanishnda nkachepuka
 
Muwe mnaomba ushauri kabla hayajawafika, utajijua na moyo wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom