Ndo changamoto hizo za kuoa asie bikra.mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri kitandani kuliko mimi
Kwa bahati nzuri tukaombana msamaha ila kiukweli ya pita sasa mwaka mmoja na nusu bado neno ilo lipo kichwani mwangu lina nipa stress kuna mda najikuta namchukia sana mke wangu na wakati mwingine tukiwa tunafanya tendo la Ndoa nikikumbuka neno lile hapo hapo mzee analala kuna mda natamani ni mfukuze kabisa ila nikicheki binti yangu wa miezi Miwili najikuta nashindwa kuchukuwa maamuzi magumu
Nashindwa kujua nitaondokanaje na hali hii naombeni ushauri
Mtafute dada wa exwake umgonge, utasahau,Acha jazba, Wewe ndio uko vizuri kitandani ndio maana uko nae!wewe ndio injini kiuono Bora kuliko exwake ni Wewe tuu unajipa Stress!mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri kitandani kuliko mimi
Kwa bahati nzuri tukaombana msamaha ila kiukweli ya pita sasa mwaka mmoja na nusu bado neno ilo lipo kichwani mwangu lina nipa stress kuna mda najikuta namchukia sana mke wangu na wakati mwingine tukiwa tunafanya tendo la Ndoa nikikumbuka neno lile hapo hapo mzee analala kuna mda natamani ni mfukuze kabisa ila nikicheki binti yangu wa miezi Miwili najikuta nashindwa kuchukuwa maamuzi magumu
Nashindwa kujua nitaondokanaje na hali hii naombeni ushauri
Pole sana. Kuna uwezekano akawa anaenda kwa ex wake kwa kificho. Kuwa makini naye.mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri kitandani kuliko mimi
Kwa bahati nzuri tukaombana msamaha ila kiukweli ya pita sasa mwaka mmoja na nusu bado neno ilo lipo kichwani mwangu lina nipa stress kuna mda najikuta namchukia sana mke wangu na wakati mwingine tukiwa tunafanya tendo la Ndoa nikikumbuka neno lile hapo hapo mzee analala kuna mda natamani ni mfukuze kabisa ila nikicheki binti yangu wa miezi Miwili najikuta nashindwa kuchukuwa maamuzi magumu
Nashindwa kujua nitaondokanaje na hali hii naombeni ushauri
Bikra kwa Sasa utampata wapi Mkuu,watu wananyegeka mpaka kwa midoli!Ndo changamoto hizo za kuoa asie bikra.
Tuliopo ni siye mnaotupea mimba na kusepa ☹️Bikra kwa Sasa utampata wapi Mkuu,watu wananyegeka mpaka kwa midoli!
Daah🤭Hahahaha 😆 😂 😆 😂
Ex alkmuwa ananyonya, analamba na kung'ata...
Pole sana ila hilo ni suala la kawaida tu maneno hayana maana yoyote kwa yalimtoka tu yapuuzeKwa bahati nzuri tukaombana msamaha ila kiukweli ya pita sasa mwaka mmoja na nusu bado neno ilo lipo kichwani mwangu lina nipa stress kuna mda najikuta namchukia sana mke wangu na wakati mwingine tukiwa tunafanya tendo la Ndoa nikikumbuka neno lile hapo hapo mzee analala kuna mda natamani ni mfukuze kabisa ila nikicheki binti yangu wa miezi Miwili najikuta nashindwa kuchukuwa maamuzi magumu
Nashindwa kujua nitaondokanaje na hali hii naombeni ushauri
Nami nataka nikutie mimba nisepe 😑Tuliopo ni siye mnaotupea mimba na kusepa ☹️
Sawa Mkuu,karibuNami nataka nikutie mimba nisepe 😑
ila wewe 🤣🤣 wanaume wa humu jf hawana izo tabia😌😌Tuliopo ni siye mnaotupea mimba na kusepa ☹️