Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

Poor thing muwage mnajiongeza dem unamuomba cku hyo hyo anakupa ujiongez... Cku ya kwanza na matatzo juu hyo ndo shda ya kuanza mapenz ukubwan
 
Dah uyo mwanamke ana roho ngumu sana, usikute Ana ukimwi kweli anatafuta wa kufa nae, hata usikubali kuendelea nae mungu kakuepusha na mkosi, so ni vyema kuwa makini ktk maamuz yako,
 
una muonyesha mwanamke upole sana dogo...usitabirike
 
Yawezekana kweli kathirika ila anapata hasira y hajakuambukiza na kama unataka kufa mapema mrudie au kama unampenda bado mpeleke mkapime wote, hiyo dawa ilyokua kwenye poch ilikua dawa ya nn yawezekana ARV na kwa nn akikunyanganya pochi kama ni dawa njema, unapaswa badilika usimwamin MTU lazima mpime au kutumia kinga, ingia tena mkenge uone tripu hii kama hajajitahid kukuachia virus kwa namna yeyote
 
mkuu kuwashwa makalio so dalili ya minyoo au amiba

anyway nashindwa kuju kwa nini unataka mrudie huyo Dada, au labda hujawahi jihusisha na mambo hayo kwa muda mrefu though unaona utakosa raha pamoja na utamkosa huyo Dada, yani hizo dalili tuuu inabidi ufunge papuchi yakoo, endelea sijui kuuza matunda
 
Aise kuna watu mnacheza na uhai eeh... yaani mtu kakuambia kabsa ni Muathirika still unakuja kuomba ushauri jf.. loooh..!! Achana na huyo KE badili kabsa na namba ya simu asikupate hewani milele pia hakikisha usijue tena gheto kwako kama hapo unapoishi sasa hv anapafahamu... Sepa kabsa find shm nyingine... acha kuchezea maisha ww... kapime tena kwa mara ya pili.. zen jipange, Muombe Mungu atakusaidia kupata Mtu mwenye Mapenzi ya dhati nawe... next time acha kufanya mapenzi bila ndom ww veeepe... hakna kuaminiana kihvo sasa hv kaka... hali ni tete...!!!
 
Wanajukwaa wenzangu nmepata majaribu mazito katika mwaka huu wa 2016. Ushauri wenu ni muhimu saana...

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26...mjasiriamali na nimejiajiri katika shughuli za software..katika umri m



iaka 25 sikuwahi kukutana namwanamke(kugegedana)kwa umri wote



hu vzuri kabsa huku mawakinibeza kwamba mimi ni hanithi jogoo wangu hawiki....hii haikunirudisha nyuma nliona nibora kuwa hvi hvi tu mpaka ntakapoooa....

Siku moja wakati nipo katika shughuli zangu alikuja mdada mmoja mzuri saaana, alinivutia, na kunibadilisha kabisa mawazo yangu.ndipo hapo uzalendo ukanishinda ilabidi nijitutumue kumuomba namba za simu..binti bila hiya akanipatia..nakumbuka ilikua tarehe 23/07/2016 binti hyu nlimtongoza na kukubaliwa siku hiyo hyo....

Ilipofka tarehe 17/08/2016 nlimtaka binti tugegedane nae binti hakua mchoyo alikuja geto kwangu nkala mzigo bila kinga hku mwenzangu akionekana mzoefu wa mambo hayo na kunipa kila aina ya utundu ila kwakua sikuwahi kufanya kitu cha namna ile nkaona kama napewa mateso huku bao langu moja siku hyo lilinifanya kesho yake kuhisi maumivu sehem zote za mwili.

Ilipita kama week binti akaniuliza nije nkusaidie kufanya usafi?? Nkamwambia njoo, akaja akanifulia akasafisha nyumba kila kitu kikawa kwenye mpangilio.Jion nlipofika hme nlikuta nyumba inapendeza saaana na ikanvutia kias cha kutaka kumuoa kbsaaa...

Yalipita masiku kadhaaa nkajihisi maumivu yamekwisha binti akanambia anataka tugegedane tena...nkakubali tena siku ya pili pia nilimgegeda bila kinga na nlijituma kweli kweli lakin jitihada zangu zote ziliiishia kwenye bao moja pamoja na kujituma kutafta na bao la pili nkachoka nkachilizia njiani...nkajilaza kwenye kochi...


Wakati nmejilaza nkaanza kupekua mkoba wa yule mdada nkaona kuna tishu zko kama nne zimefunika kitu nlivoanza kuzipekua moja baada ya nyingine nkahisi kuna kitu kama kidonge kimefichwa...wakati nmekaribia kukifikia yule mdada aliniwahi akanipokonya....nlianza kuwa namawazo saaana maaana nlihisi kile kidonge kama ARVs..

Alikuja tena nikagegedana nae mwez wa tisa bila kinga tena hapo siku hyo uchi wake ulikua na vitu vya ajabu kama madude meupe meupe huku ukitoa haruf kali jambo ambalo lilinishinda kuendelea na shoo nlipomuuliza ni nini hii?akajibu eti yeye pia hajui...nlimpa pesa ili akapime Ajue shida ni nn...akadai kwamba amepatikana na UTI iliokomaa nkampa pesa za matibabu na siku tamani tena kumgegeda...

Baada ya kuachana nae hapo sikumtaka tena nikawa namkwepa kumbe na yeye alikua anapanga kuachana na mimi..ukaribu ukawa unatoweka taratibu hku simu lukuki za kila wakati zikipungua pia mpaka ikafka hatua tukawa tunawasiliana mara moja kwa siku....


Siku zilivokua zinazidi kwenda nlianza kujihisi kiafya sipo sawa....nlijihisi mchovu,koo kujaaa kohozi,,makalio kuwasha,,lips kuanza kuwasha,,,,mdomo kuwa mchungu...tumbo kujaa gesi na kuuma...kupata maumivu wakati wa haja kubwa.... Ilinipa mawazo saaana....

Siku moja jion yule mdada akanipigia simu akaniambia nimesafiri nipo dar ila nenda kapime UKIMWI mimi ni muathirika....nlishtuka saaaana jambo lililonifanya nsilale...niwe na mawazo
....nikifkiria tena nnavojihisi ndo nachanganyikiwa kabsaa....ilininyima raha ndo kijana nimeanza safar ya maisha nakutana na kitu hicho nliwaza saaana baadae ilinibidi nikubali kwamba nmeathirika...

Kitokana na kuwa maaarufu katika mji nnaofanyia kazi sikutaka kwenda kupima ili nianze dose katika mji wangu ikabidi nihame nije dar kupima na kuanza dose...
Nlifikia kwa rafki yangu wa damu alipokea kwa bashasha nkaanza kumueleza jambo hili...kwakua yeye ni mzoefu wa kugegeda akanambia braza ukimwi hauambikizwi hvo mpka ww upate michubuko na yeye achubuke...akanambia lakin usikonde hapo jiran kuna kampeni ya kupima kwa hiari na majib ni kama dk tano tu unayapata...


Kesho yake mida ya sa saba tukaongozana akanipitisha mbez kwenye baa moja hivi akaninunulia msosi wa maaana nkala nkashiba vzur..tukaendelea na safari ya kwenda kupima....mbele ya stend ya mbez mwisho ndiko amba vpimo vilikua vinachukulia....akanisindikiza nikapimwa.


Majibu yakatoka nikaonekana sina VVU....Nifurahi saaaana....nkauliza hzi dalili ni za nn docta akanambia kapime minyoo na amiba au typhod....ndo dalili zake hzo.....


Nlichukua simu yangu nikiwa mwenye furaha nikampigia simu na kumwambia nmetoka kupima na sina UKIMWI....alionekana kutokua na furaha.akaniuliza inaamaaana hujiskii kuumwa kbsaa nkamwambia dalili nnazoziskia ni za maradhi ya kawaida kanambia doctor...hakuonekana na furaha.....


Tokea nlipomwambia sina ukimwi kila siku ananipigia simu kunitana nimpe pesa za kutumia coz yuko dar...nkamwambia na mm nipo dar akaomba tuonane...jana nkakutana nae kariakoo ananilazmisha tuendeleze penzi na mm siko tayar kurudiana nae...nkamwambia ww una UKIMWI.akanambia hana alikua anantania....




Huyu mwanamke kaning'ang'ania anadai hata nikioa mwanamke mwingine atakuja kunifanyia fujo kila siku....nifanyeje jaman ili asinisumbue



Wewe kwelii BOGASI umeponea chupuchupi bado unataka kuridi.
 
Futa namba yake kichwani na kwenye simu yako maana atakudhuru
 
Wanaume Wa mikoani mambo madogo kama haya pia mnahitaji ushauri na jibu lake lipo wazi kabisa.


Ndukiiiii
 
Aise kuna watu mnacheza na uhai eeh... yaani mtu kakuambia kabsa ni Muathirika still unakuja kuomba ushauri jf.. loooh..!! Achana na huyo KE badili kabsa na namba ya simu asikupate hewani milele pia hakikisha usijue tena gheto kwako kama hapo unapoishi sasa hv anapafahamu... Sepa kabsa find shm nyingine... acha kuchezea maisha ww... kapime tena kwa mara ya pili.. zen jipange, Muombe Mungu atakusaidia kupata Mtu mwenye Mapenzi ya dhati nawe... next time acha kufanya mapenzi bila ndom ww veeepe... hakna kuaminiana kihvo sasa hv kaka... hali ni tete...!!!
Nmekusoma
 
Subiri kwanza nikutafutie ushauri humu kabatini ,maana naona ushauri wangu umeisha ,ila wakati ynasubiri mwambie aje ghetto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom