Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

Daktar amenambia kipimo hcho huwa kinatambua virus week tatu za kwanza ila nmeambiwa nirud tarehe 9 JAN
Kaka achana nae kabisa awe kakupa au hajakupa hakuna kosa kama kurudia kosa weka mbali dyudyu ako Mungu ana kusudi na ww
 
Wewe ni ndezi, unataka umrudie ili akupe ukimwi original sasa? Tulizana au kama unampenda sana, nendeni mkapime.
 
Wait after 3 months ukapime... Ila in one month time ukihisi Tonsils zinauma ujue tayar ushaukwaa... Katika kipindi hivh cha mwanzo wale virus wanafikia katika nerve ending kwenye tonsils, karibu na koo, kwapani n. K kabla ya kuanza kazi zao za uharibifu.... LEARN TO PLAY SAFE AU OA KABISA MWANAMKE UTAKAYE MWAMINI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom