TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
Wakuu heshima kwenu! Ninakiwanja mkoa wa pwani maeneo karibu na halimashauri, ukubwa wa kiwanja no sq 600, sasa usawa wa magu ni mgumu,ila kujenga kunahitajika......nimeenda kuuliza wadau maeneo hayo wakanipa point zifuatazo
Mchanga unaweza kuchukua kwa Bibi Fulani kwa gharama 15000, kwa ndoo ndogo 200, ila wabebaji wa mchanga huo kwa ndoo wanabeba sh.200 ,fundi matofari anapiga tofar kwa mfuko mmoja 5000, kuhusu cement wadau wamesema nenda kiwandani kanunue tani moja wanauza jumla.sasa nawaombeni wanajf wenzangu kwa siku ya takayifu ya jumapili, naombeni vitu vifuatavyo:
Msaada wa ramani ya vyumba vitatu,sebule,Choo cha public,jiko na stoo...naombeni free
Naombeni mnichanganulie mpaka hatua ya Boma,nitatumia tofar ngapi
Au kama unamawazo tofauti,naomba utoe ushauli wako.
Hakika utabarikiwa kwa siku ya leo,siku takatifu....kwendeni kanisani
Target ni kupunguza gharama mkuu, kama kiwanda hakipo mbali.Hivi unajua kuwa simenti tani moja ni viroba 20 tu, ndo uendee kiwandani?
Target ni kupunguza gharama mkuu, kama kiwanda hakipo mbali
Mkuu kuna vitu kama ujenzi sio vya kufanyia ubahili. Fungua mfuko upate vitu vizuri kama hivi.
View attachment 1611747
Mkuu mimi sio mchora ramani, hapo juu nimemshauri tu mtoa mada aepuke vitu vya bure maana.So raman ya rum2 za kulala na dining na seating room public toilet na jko ni shngp?
Kiwandani huanzia tani 3. Ramani just download kwa nyumba uipendayo kisha unakaa na fundi mnafanya maboreshoWakuu heshima kwenu! Ninakiwanja mkoa wa pwani maeneo karibu na halimashauri, ukubwa wa kiwanja no sq 600, sasa usawa wa magu ni mgumu,ila kujenga kunahitajika......nimeenda kuuliza wadau maeneo hayo wakanipa point zifuatazo
Mchanga unaweza kuchukua kwa Bibi Fulani kwa gharama 15000, kwa ndoo ndogo 200, ila wabebaji wa mchanga huo kwa ndoo wanabeba sh.200 ,fundi matofari anapiga tofar kwa mfuko mmoja 5000, kuhusu cement wadau wamesema nenda kiwandani kanunue tani moja wanauza jumla.sasa nawaombeni wanajf wenzangu kwa siku ya takayifu ya jumapili, naombeni vitu vifuatavyo:
Msaada wa ramani ya vyumba vitatu,sebule,Choo cha public,jiko na stoo...naombeni free
Naombeni mnichanganulie mpaka hatua ya Boma,nitatumia tofar ngapi
Au kama unamawazo tofauti,naomba utoe ushauli wako.
Hakika utabarikiwa kwa siku ya leo,siku takatifu....kwendeni kanisani
So raman ya rum2 za kulala na dining na seating room public toilet na jko ni shngp?
Kiwandani huanzia tani 30 sawa na mifuko 600. Unabeba na semi trailler.Kiwandani huanzia tani 3. Ramani just download kwa nyumba uipendayo kisha unakaa na fundi mnafanya maboresho
Tani 30 unaruhusiwa kupita nazo barabara zetu hizi? Ongeza na uzito wa semi ambao si chini ya tani saba.Kiwandani huanzia tani 30 sawa na mifuko 600. Unabeba na semi trailler.
Inapita highway ukitaka kupeleka ndani ndani unabeba na canter au fuso mifuko michache barabara nyingi za ndani mwisho ni tani 10 maximumTani 30 unaruhusiwa kupita nazo barabara zetu hizi? Ongeza na uzito wa semi ambao si chini ya tani saba.
Kinachoangaliwa sio uzito uliobeba, Bali pressure (mgandamizo) unauweka juu ya barabara.Tani 30 unaruhusiwa kupita nazo barabara zetu hizi? Ongeza na uzito wa semi ambao si chini ya tani saba.
Si zile hazizidi PSI 130Kinachoangaliwa sio uzito uliobeba, Bali pressure (mgandamizo) unauweka juu ya barabara.
Ndo maana akeSi zile hazizidi PSI 130