Naombeni ushauri,nataka kununua simu za Infinix

achana na michina iyo, tafuta Samsung, s5 mini au s4 mini burdaani utulie nayo, ushauri wangu huo
 
Ndugu utakayo amua kuichuku tafadhari wasiliana nami...nikupe simu ya chaguo lako ikiwa original na ambayo haijaguswa kabisa bongo.
 
Tupe elimu kidogo basi mkuu kuhusu hilo
Mkuu tecno ni brand ya kampuni ya kichina iko hongkong wengi wanasema tecno hawana adress tecno wana adress ila sio kampuni kwa sasa tecno ni brand tu ya device zao

Iyo kampuni inamiliki brand za simu na vifaa mbalimbali bya umeme kwa majina tofauti tu, nchi za Asia, india na Africa.

Tecno, infinix, itel zote zao, kule india wana simu za majina kama Spice. Lakini pia hawa jamaa wana vifaa mbalimbali kwa jina la Oramia

Sasa umewai kukutana na brand ya Synix? Imejaaa mjini saizi TV, Friji, AC, tena flat screen zake zimejaa K.koo. wote hao wanatoka nyumbani kwao tecno. Kampuni moja inatengemeza kwa majina tofauti na kuuza nchi tofauti
 
Ahsante mkuu kwa kuniongezea kitu kichwani
 
Niko na simu brand tofauti tofauti kutoka Zanzibar..so atakaehitaji namualika kwenye group la WhatsApp..ambako huko ataona na kupendekeza simu aitakayo nimtafutie...
Wasiliana nami kwa namba yangu ya WhatsApp hapo chini ili nikuunge kwenye group moja kwa moja...
Kumbuka sio simu tu..vitu vyote vya umeme tunaweza fanya biashara.. laptops TVs na kadharika.
0716403314 (kwa kupiga)
0625882454 (== kwa WhatsApp)
 
Unatulazimiasha tutembeleee blog yako sio kwa njia hiyo , kuna haja gani ya kuweka link ya blog yako hapo @smartskills
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…