Naombeni ushauri nataka kukata rufaa bodi ya mikopo ya elimu ya juu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Dirisha limefunguliwa rasmi lakukata rufaa kwa wale wote ambao hawajaridhika na kiwango walichopewa na waliokosa kabisa
Kwamimi binafsi nilipata asilimia tisini lakini sikupewa books and stationary sasa nauliza je nikikata rufaa majibu yatakayokuja ya naweza pia yakawa chini ya asilimia tisini? Au wanaweza kuniongezea au asilimia ikabaki ileile?
Maana nahofia nisije nikakata rufaa halafu baadae majibu yakatoka chini yakiwango kuliko ata asilimia tisini nilionayo sasa
#mbowesiogaidi

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Acha kabisa japo majibu yakija awatoleta pungufu ya kiwango ulichopata mwanzo hila fikiri kuna wenzio awana kabisa mshukuru mungu kwa kidogo kakomae tu
#mbowesiogaidi
 
Naomba mnisaidie hapa sielewi
Screenshot_20211107-090503.jpg
 
Kwann sasa wamemfanyia hivyo labda Kuna sehem alikosea kuapply

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Hapa ajakosea kuapply angekosea asingepewa chochote kile adi amepewa ya chakula inamana alipatia maombi hila king'amua uwezo cha bodi ya mikopo ndo kimechakata hcho kiasi ndo saizi yake may be aje atuambie o level alisoma shule za namna gani naisi tutapata jibu sahihi
 
Dirisha limefunguliwa rasmi lakukata rufaa kwa wale wote ambao hawajaridhika na kiwango walichopewa na waliokosa kabisa
Kwamimi binafsi nilipata asilimia tisini lakini sikupewa books and stationary sasa nauliza je nikikata rufaa majibu yatakayokuja ya naweza pia yakawa chini ya asilimia tisini? Au wanaweza kuniongezea au asilimia ikabaki ileile?
Maana nahofia nisije nikakata rufaa halafu baadae majibu yakatoka chini yakiwango kuliko ata asilimia tisini nilionayo sasa
#mbowesiogaidi

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Jikite kwenye masomo shukury umepata ada, na boom. Pia kumbuka wanao pitia maombi yenu sio computer ni binadamu so unaweza kuta siku hiyo akaamua tuu kukupiga za chemba.
 
Pole kwa uzoefu wangu rufaa ya bodi wanaoshinda in wale ambao awajapata kabisa chochote
Na fomu zao za rufaa mavyeti ya vifo kibao lakini so kwa kibarua cha serikali za mtaa ukashinde rufani ya bodi ya mikopo ni changamoto kaka kukuongeza hela kwa mwaka huu lamdah kwa allocation mpya za mwaka wa pili ndo may be watakupa na vingine hla kwa mwaka huu kakomae 2
 
Sawa mkuu nimekuelewa

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Cozi fomu ya rufaa wew utaulizwa unataka kitu gani upewe wapi aujalizika napo ndo wao watachambua uko kama kweli unavielelezo vya kuwashawishi wakupe kama aujakidhi wao wanaweka jina pembeni unaendelea na allocation yako ya zamani wala awaipig panga
 
Back
Top Bottom