MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 979
- 2,022
WW FALA KWL KWL UNADHANI WW UKO SALAMA? AU WW NDIO WASIOJULIKANA WENYEWE?Huna kazi ya kufanya wewe unahangaika na wajinga wasiojielewa hivi wewe mtu na akili zako timamu tanzania ni pakufanya uhanaharakati uchwara mdude ni mjinga sana ameacha familia yake inateseka kisa ujinga shenzi kabisa
Mkuu hii hali ya sasa ni mbaya sana mm binafsi naumia sana nalia kiukweli nalia sitaniiHuna kazi ya kufanya wewe unahangaika na wajinga wasiojielewa hivi wewe mtu na akili zako timamu tanzania ni pakufanya uhanaharakati uchwara mdude ni mjinga sana ameacha familia yake inateseka kisa ujinga shenzi kabisa
Siasa tanzania ni upumbavu usije ukayasikiliza majinga ya humu ukasema ufanye siasa unapotea na hamna watu watafanya watabaki kusema wanamuachia mungu mda huo wewe upo futi sita Kwa ujinga wakoMkuu hii hali ya sasa ni mbaya sana mm binafsi naumia sana nalia kiukweli nalia sitanii
Pole mkuu,kama unaendesha gari ukiona askari police yoyote anakatiza mbele mgonge umuue,hii itasaidi kuponya hiyo hali. Hata mimi ile video ya mkewe Mdude imenitoa machozi,polisi yoyote atakayeingia kwenye 18 zangu sitamuacha.Ndugu zangu hapa nilipo sielewi napitia kipindi kigumu sana.
Ipo hivi...
Mimi ni mtu niliye sensitive sana mtu anapoonewa au kuona mtu anadhurumiwa haki yake hii kitu inaniumizaga sana.
Najikuta nakuwa off mood sana na ninadhoofika kila siku kiakili, kihisia na ki mwili pia.
KIfupi mpka hapa nishaumizwa na hii hali kwa nyakati nyingi tofauti tofauti na ishatokea kutoa machozi mara nyingi sana.
Mara ya mwisho kutoa machozi ni leo baada ya kuona picha ya nyumbani na damu kwa huyu kada wa CHADEMA Nyagali. Mimi siyo mwana harakati wala siyo mwana siasa lakini hii hali inanitesa sana, siyo kwa mdude tu hata kwa watu wengine hii hali inanitesa sana sana sana.
Hii hali inaninyima hamu ya kufanya kazi na hamuwez amini leo nimeshindwa kutimia majukumu yangu kikamilifu.
Nawaza huyu kijana kadhurumiwa haki yake ya kuishi na ni hasara kwa familia yake na ukifikiria kwa undani zaidi hiki kitu kimefanywa ili kulinda maslahinya watu wachache na siyo Taifa.
NImalizie Kwa kusema sisi sote ni wa mavumbini tutarudi wakati ukifika, mdude kauwawa lakini waliomuuwa nao watazikwa nao na watakufa wakiwa na maumivu makubwa yanayotokana na guilty na kujutia kwa wanayoyafanya muda huu.
Aminini nawaambia wanayoyafanya haya hawafanyi kwa maslahi ya Taifa bali ni kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache na watajutia kwa haya wayafanyayo.
Inaumiza sanaPole mkuu,kama unaendesha gari ukiona askari police yoyote anakatiza mbele mgonge umuue,hii itasaidi kuponya hiyo hali. Hata mimi ile video ya mkewe Mdude imenitoa machozi,polisi yoyote atakayeingia kwenye 18 zangu sitamuacha.
Mimi tangu mwaka jana July kama isingekuwa najitahidi sana pamoja na kuwaona wataalam ningekuwa nishakuwa Mwehu.KIfupi mpka hapa nishaumizwa na hii hali kwa nyakati nyingi tofauti tofauti na ishatokea kutoa machozi mara nyingi sana.
Mara ya mwisho kutoa machozi ni leo baada ya kuona picha ya nyumbani na damu kwa huyu kada wa CHADEMA Nyagali. Mimi siyo mwana harakati wala siyo mwana siasa lakini hii hali inanitesa sana, siyo kwa mdude tu hata kwa watu wengine hii hali inanitesa sana sana sana.
Asee na kuna watu wanaishi vzr tu sijui wanawezajeMimi tangu mwaka jana July kama isingekuwa najitahidi sana pamoja na kuwaona wataalam ningekuwa nishakuwa Mwehu.
Nilipata Depression
Kila siku ni habari za watu kutekwa, kupotea, kuuawa na kuteswa.
Depression is real if you care about humanity.
Kuna wakati nakata tamaa kwamba huenda Mungu hayupo. Lakini baadae Roho Mtakatifu ananijia tena
Wewe ulitaka wafanyeje? Hicho walichoshindwa kufanya wewe umekiweza?Siasa tanzania ni upumbavu usije ukayasikiliza majinga ya humu ukasema ufanye siasa unapotea na hamna watu watafanya watabaki kusema wanamuachia mungu mda huo wewe upo futi sita Kwa ujinga wako
Mkuu hii hali ya sasa ni mbaya sana mm binafsi naumia sana nalia kiukweli nalia sitanii
Na aibu kubwa sanaCha kufikirisha na cha ajabu ni kuwa mdanganyika anamuua mwenzie kwa kutumwa na mzanzibar hii ni kali