The Boss vibaya ivoo..Mpe mimba...halafu peleka posa
The Boss vibaya ivoo..
Ndoa inaandika mbinguni,na muhimu sana kupata Baraka za wazee wa pande zote mbili,aende kuongea na mzazi wa mpenzi wake na amuombe mwenyezi mungu kama ndoa ina kheir na yeye basi amfanyia wepesi la haina kheir na yeye ampe mwenye kheir na yeye...We una shauri nini?
Ndoa inaandika mbinguni,na muhimu sana kupata Baraka za wazee wa pande zote mbili,aende kuongea na mzazi wa mpenzi wake na amuombe mwenyezi mungu kama ndoa ina kheir na yeye basi amfanyia wepesi la haina kheir na yeye ampe mwenye kheir na yeye...
Tatizo nikwamba kuliwah tokea utata flani hali ilo pelekea wazazi kuchukizwa na sikuwa pamoja.
Mama yangu hakuwa na hiyana, ishu ni kwamba mama yake karudi toka mkoa na kuihitaj simu ya mwanawe hapo ndipo utata ulipo anza baada ya mama yake kumaind na kutoa maneno flani sio mazuri.
Naombeni ushauri nifanye nini ili kutatua tatizo
Enhee..We mtu wa pwani?