Naombeni ushauri kwenye hili

Naombeni ushauri kwenye hili

99boy

Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
10
Reaction score
7
Habari za wakati huu wakuu, naomba kuuliza Kwa mwenye ufahamu na Swalla hili.

Juzi kati nilikutana na link mtandaoni wanauza simu, computer pamoja na bidhaa nyingine za kieletroniki, nikajaribu kupitia pitia ile link ikanidirect WhatsApp na nikawauliza kama ninaweza kupata simu aina ya iphone XR GB 256 akanijibu ipo na bei yake ni euro 160 pamoja na gharama za kutuma Kwa njia ya DHL mpaka Dar es Salaam, so nikajaribu kuangalia rate ya kubadilisha pesa na nikakuta euro 160 yapata 393000tsh, anavyodai ni kwamba simu ni original kutoka USA na inakuja ikiwa kwenye box.

Nikajiuliza je ni kweli bei ya iphone XR inaweza kua hyo 393000 ingali hapa kwetu ni mara mbili ya hyo? Hivyo nikaona si mbaya nije hapa niulize wadau wenye ujuzi wa mambo mbalimbali kunizidi Ili niweze kujua nini na fanya nili nisije nikatapeliwa.

Asanteni sana.
 
Usiamini mitandao kama huna connection ya huko mahali unakochukulia mzigo... Ushauri wangu tu huo
 
Kuna msemo unasema ukiona bidhaa ipo rahisi kuliko uhalisia wake, ujuwe wewe ndie unaepigwa changa.



Kukuuuu
 
Back
Top Bottom