Naombeni ushauri kwa hili

mwang ww oa maan nmke wako
 
Kitanda hakizai haramu, endelea kumpenda na kumsitiri, leeni huyo mtoto bila kujali watu watasemaje.

Ukimwacha atabeba maumivu yakuachwa na kubakwa, so ataumia zaidi
 
Kitanda hakizai haramu, endelea kumpenda na kumsitiri, leeni huyo mtoto bila kujali watu watasemaje.

Ukimwacha atabeba maumivu yakuachwa na kubakwa, so ataumia zaidi
Ahsante sana, na nyumban ntasemaje, kama wakijua ana mtoto
 
Hii ngumu kumesa
(In masai voice )
Ngoja wakongwe wenye uzoefu wao waje
 
Kitanda hakizai haramu, endelea kumpenda na kumsitiri, leeni huyo mtoto bila kujali watu watasemaje.

Ukimwacha atabeba maumivu yakuachwa na kubakwa, so ataumia zaidi
Mkuu kwani aligongewa kitandani?
 
We kama unampenda muoe tu huyo mtoto iwe kama bonus
 
Dah!!..kuna mitihani mingine migumu kweli...

Pole sana mkuu
 
Kwa hiyo baba wa mtoto hajulikani maana walimbaka ni kundi basi wee nenda kapime magonjwa ya zinaa oa mkubwa lea mtoto huwezi jua huko mbeleni baraka huwa zinatoka kwa watu kama hao
 
Mkuu ww kua naye tuu ,usimwache kisa kubakwa ,,ilo mbona jambo dogo tuu kubali mtot awe wako tuu huwez jua bhana
 
Ahsante sana, na nyumban ntasemaje, kama wakijua ana mtoto
Nyumbani kwenu utasemaje jibu ni mimba yako si Umeandika umeishi nae japo hainiingii akilini hii story yako
 
Ndiyo, namjua vizuri sana Hana tabia hatarishi
🤣🤣🤣Una mjua vizuri mwanamke mwenye hofu na mungu kwanza hawezi kuzini kabla ya Ndoa mtu umeishi nae halafu unampa asilimia nzote.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…