Ninampenzi wangu tunapendana lakini tatizo lake anahisia kali sana pale anapogusana na mtu hasa mwanaume atawakisalimiana kwa kushikana mikono mwili wake unasisimuka sana. Mfano kama nikitaka kudu nae nikimshika mkono tu analegea na anakuwa na hamu ya kudu.
Wasiwasi wangu kuhusu huyu mpenzi nahisi nikimuoa nitakuwa naibiwa sana hasa kwawale wanaojua udhaifu wake Yeye kaniambia niko pekeyangu lakini sidhani maana ndo nimeanza nae uhusiano hata mwezi haujaisha. Nitawezaje kumsaidia mpenzi wangu ili awezepunguza hisia zake.
Naombeni ushauri jamani.