Naombeni ushauri kuhusu mpenzi wangu

Naombeni ushauri kuhusu mpenzi wangu

aikiguswa na yeyote anasisimka au ukimgusa wewe ndo anakuwa na hiyo hali? let me assume akiguswa na yeyote huwa anasisimka... ina maana alikumbia hivyo?
 
ktk ujana wangu niliwahi kukutana na wa hivyo, mwanzoni nilidhani anaekti lakini baadae niligundua ndivyo alivyo, kuna watu wako hivyo, ila analegea kwa anayemzimikia siyo kwa kila mwanaume amshikae
 
Back
Top Bottom